Mmh! Naona umefunguka balaa! Hatupaswi ku-personalize mada za JF.Madame, hujanipeleka wewe shule hata uniandikie Kiingereza. By the way usijafanye mjuaji sana hapa. We unajua walifanya nini? Mbona unakimbilia kusema mambo waliyofanya wao wakati hujajua walikua wanafanya nini?
And ofcourse you are neither my type nor calibre....guess why?
In this modern life we wash and make our mouths clean before going to bed. We sleep so nicely that we don't experience sweating. If you are living today and experience sweating and bad mouth odor in the morning.....wewe ni mtu wa kale-yes, you are not my type. Hata kama unaishi chumba cha kupanga kimebanana na hakuna hewa ya kutosha.....mama kuna feni nyingi tu mjini....naaa! Aaah wewe ni wale wale akina asha ngedere tu huna maana.
Maana yake unakuja kutuambia hapa kuwa bwanako ananuka mdomo na makwapa asubuhi.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sukari Yenu
Usiogope. Am not your cousin.Mmh! Naona umefunguka balaa! Hatupaswi ku-personalize mada za JF.
Umeona eeh!??Ni kweli mapenzi ni usafi kwa pande zote mbili vinginevyo ni karaha!
Mkiwa wasafi mnakuwa na uhuru wa kuichezea miili yenu sehemu yoyote kwa uhuru. Uko na mwenzio unataka "kumla" ulimi mara ananuka pombe au sigara au kikwapakinanuka kama ile harufu ya kwenye nyumba/chumba kile maarufu, stim lazima zitatimka!Umeona eeh!??
Kabisa Mkuu, umri wake badoAkikua ataacha. Unajua ukiwa 20s you think you own the world....30s akili zinaanza kuchangamka...40 na kuendelea ndio yale mambo ya bora ninacho kuliko kulala peke yangu.
Ndio maana wadada wakali wengi wanaishia kutumiwa tu na wanaume wa kileo. Maana ndege mjanja hakuna namnaKabisa Mkuu, umri wake bado
Sana. Suala la kunyonya niniliu ndiyo kabisaaa sitokaa nijaribu. Nitatapika mpk nife, haijalishi ni msafi wa kiwango ganipia inaonekana una kinyaa sana.
Hahaaaaaa shauli yako utapigwa chini sio mda mrefu.Sana. Suala la kunyonya niniliu ndiyo kabisaaa sitokaa nijaribu. Nitatapika mpk nife, haijalishi ni msafi wa kiwango gani
Nimetamani kujua jinsia yako halisi ila hainizuii kukupa madongo yako.
Kama ni wanamke, Hivi hilo bakuli lako kitwa nzima limechomwachomwa na mpini na kumwagiwa humo humo matapishi unahisi halinuki, hilo domo lako ukilala kutwa kuliacha wazi na maudenda unahisi haunuki, hayo makalio yenye ukurutu unahisi yana toa harufu nzuri kwa mwenzio!?
Kama ni Mwanaume: Hivi Mikende yako hiyo ikitumika usiku unahisi ni misafi tena, utaanzaje kuona mwenzako mchafu ile hali umejikojolea!
Punda kihongwe.
Akwende zakechaweza leta
Mimi nipo upande wako Dada. Usafi ni muhimu sana kwenye suala mapenzi.Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mimi? Sitaki.
Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mimi. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mimi kwangu mapenzi ni usafi.
Mmmmmmmmmmmhhkweli sijagegedwa miaka mingi.umenikumbusha mbali sana
Ndiyo wanao ugua UTI kila wiki.Hebu jiulize papuchi utakua na hali
Choo kinahamia ndani ya shukaUtakuta mtu anapanda kitandani hajaswaki wala hajaoga. Huwa najiuliza inakuaje ikifika asubuhi pale mnapoongeleshana mkiwa bado ndani ya shuka!?