Certificates za The Roman's college-Morogoro

Certificates za The Roman's college-Morogoro

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Habarini wana jf!!

Kama kichwa cha habari hapo juu.Nimepata bahati ya kutembelea hiki chuo japo kwa bahati mbaya sikuwa na kamera.Hawa jamaa wanatoa Certificates na Diploma.Yaani certificate ya mwaka mmoja na diploma kwa miaka miwili..kwa kozi za
1.Information Technology
2.Business Admnistration
3.Nursery Teaching
4.Community Development
5.Hiv and Aids counseling
6.Records Management
7.Accounting
8.Procurement and Supply

Jamaa wana Hostel za kiume na za kike
ambazo ni za kisasa zaidi na wapo mazingira tulivu sana kwa kujisomea wanafunzi pia walimu wao very professional.

Nikaambiwa pia wanawatafutia field wanafunzi..

RECOMMENDATIONs ZANGU:
(Baada ya kuona chuo na mazingira yake. na namna elimu inavyotolewa kwa ustadi wa hali ya juu sana hawa jamaa wapo serius sana wanafundisha like University hivi hivyo kama unamtoto kamaliza fomu four hebu mpeleke akasome pale, intake ya pili itaanza mwezi wa tano..


kwa maelekezo zaidi wasiliana na mhusika huyu:
aliyepost kwa kunipm.
 
sisi wengine tuna mindugu mikorofi sijui litakubaliwa huko? maana ni kimeo kwangu
 
sisi wengine tuna mindugu mikorofi sijui litakubaliwa huko? maana ni kimeo kwangu

Tumeweka mazingira mazuri kwa watu walioshindikana na wazazi au hata walezi.Mazingira hayo ni kama yafuatayo:
1.Lazima atoe taarifa itakayothibitishwa na Displine Master kokote atakakoenda nje ya chuo.
2. Mwisho wa mda wa kuwa hosteli usiku kwa yule aliyendani ya hostel za chuo
3. Kukagua na kumfuatilia maendeleo yake darasani
4.N.k n.k
kwa mawasiliano zaidi ni pm mkuu.
 
Kamanda una promo Nzuri sana aisee,good bana imekuwa Kama story kumbe ndo unatupia promo ya chuo
 
Back
Top Bottom