Certificate in medical laboratory imekaaje?

Certificate in medical laboratory imekaaje?

Asu tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
336
Reaction score
86
Habr jf?

Wakuu kuna hili swala linanitatiza. Nataka kuapply koz ya cert in medical laboratory ktk chuo kikuu cha ruaha (ruco) mnanishaur vp kuhusu koz hii?
 
kozi nzuli sana.......ila mi nakushauli nenda kcmc moshi,muhimbili huwa ndo wazuli
 
Pia mm nilitaka kuchukua Cert' in Clinical Assistant
kwa kanda ya ziwa wanatoa wapi?
Na je iko marketable?
 
Pia mm nilitaka kuchukua Cert' in Clinical Assistant
kwa kanda ya ziwa wanatoa wapi?
Na je iko marketable?
kanda ya ziwa wanatoa sengerema na pia kuna chuo kipya kinaanza mwaka huu matangazo yake yataanza mwezi ujayo yakitoka nitapost hapa
 
Back
Top Bottom