Certificate in laboratory technology | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Certificate in laboratory technology

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Planner, Feb 24, 2012.

 1. Planner

  Planner JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba msaada wenu kujua vyuo vya serikali vinavyotoa Certificate ya mambo ya maabara,kuna dogo ananisumbua ila hakusoma physics o level.Je ni sifa zipi anatakiwa kuwa nazo ili apate kozi hiyo.Natanguliza shukrani
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Planner,

  Mbona hii imekaa kama ni wewe ndiyo mwenye shida hiyo ha ha ha ha.


   
 3. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tafuta magazeti la Dailynews na Mwananchi ya juzi kama sijakosea kulikua na tangazo la wizara ya afya kuwaalika watu kuomba nafasi hizo.
   
 4. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Chuo cha maabara singida hospitali ya mkoa mi mimesomea hapo certificate ya maabara ni chuo pekee cha serikali phyisics sio kigezo sana niliingia kwa biology c na kemia c mwisho ni D kuna uombaji wa aina mbili kuandikisha CONT
   
 5. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kuandikisha jina kwa Mganga mkuu ili ufanye mtihani mwezi wa tatu ila hii umeshachelewa maana wanafanya Tz yote na wizara inachagua ada 280,000/year chakula utakula chuni kulala ni chuoni pia kuna private ni sh 560,000/year chakula mabweni chuoni hapohapo kwa gharama hiyo Unachotakiwa nikwenda chuoni na barua ya kuomba nafasi na vyeti unapeleka pale wao ndio watakuombea nafasi wizarani maana nafasi 40 ni za waliofanya mitihani 40 private wanaodhaminiwa na chuo vyuo vingine ni NKINGA-TBR KOLANDOTO-shy MVUMI
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Baada ya cerificate unaenda Diploma chuo gani??mimi kuna dogo anamalizia cert ila private hapo Mount Mkombozi,nitapenda labda akimaliza aunge na Dip,ni wapi?
   
 7. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Test nkinga tabora diploma ya mwaka m
  moja au muhimbili miaks mitatu au KCMC mitatu au Bugando mitatu au Ruaha iringa mitatu... ruaha nirahisi mno
   
 8. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2013
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  kunipata Ni pm ntakupa maelekezo zaidi kwa simu mi mvivu kujibu sms za simu
   
 9. Jben

  Jben Member

  #9
  Jul 27, 2013
  Joined: Jul 22, 2013
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yes bro! Ukiwa na C ya bioz, D ya chem, D ya kingrza, D ya maths, unaweza pata hii certificat, bt f ya phy.
   
 10. R

  Rejonta Member

  #10
  Jul 28, 2013
  Joined: Jun 1, 2013
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  unapata kabisa bila shaka dogo
   
 11. Jben

  Jben Member

  #11
  Aug 1, 2013
  Joined: Jul 22, 2013
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jaman haya matokeo yao lini/
  maana wngne ualimu unatuchanganya/ kwa anayejuwa bac anijuze.coz wengne
  hatuna hob na ualimu
   
 12. S

  Sheko JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2013
  Joined: Mar 9, 2013
  Messages: 284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Afya nasikia kugumu sana katika selection vp umeomba dip au cheti ya kozi gani mkuu mwenzangu
   
 13. Jben

  Jben Member

  #13
  Aug 1, 2013
  Joined: Jul 22, 2013
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Chet ya labo
   
 14. k

  kifumbiko JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Duh 2ombe mungu maana gvt noma kupata nafasi
   
 15. Delzzy

  Delzzy Senior Member

  #15
  Aug 2, 2013
  Joined: Jul 10, 2013
  Messages: 188
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kweli tuombe mungu
   
 16. Jben

  Jben Member

  #16
  Aug 3, 2013
  Joined: Jul 22, 2013
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duh, jaman walio karibu na wizara jitahidin mfke wizaran, ili tuwe na specific time, maana wengne wamechaguliwa ualimu na huku wapo interested na afya.... Plz fanyeni hvyo wapendwa. Pia unaweza nijuza kupitia '0762767372, nawa <3
   
 17. Jben

  Jben Member

  #17
  Sep 3, 2013
  Joined: Jul 22, 2013
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duh, majanga sasa.. Tunasugua bench adi lini jamani!
   
 18. V

  Victor 20 Senior Member

  #18
  Sep 3, 2013
  Joined: Aug 14, 2013
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wazeyaaa! kusugua mpaka mwezi wa 10 tarehe 12 kuna friend wangu 1 alienda kuulizia pale muhimbili so hamna jinsi tusubir
   
 19. S

  Sospetergideon JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2013
  Joined: Aug 9, 2013
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe upo kwenye ualimu ina maana afya ukichaguliwa huko ualimu unatoka?
   
 20. S

  Sospetergideon JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2013
  Joined: Aug 9, 2013
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nini tatizo huko?
   
Loading...