Certificate ICT nimpeleke wapi?

Niwashukuru wote mlitoa ushauri kwenye thread hii, nitaufanyia kazi. Ahsanteni.
 
Tofauti ipo mkuu.Karibu Fulgent Careers kwa maelezo zaidi, ushauri na mwongozo katika masuala ya elimu na Career kwa gharama nafuu .
 
Mpele UDOM , haina haja ya kuumiza kichwa sababu zingine.
Kama dar itakuwa ni ghari aende dom.
Mpele UDOM , haina haja ya kuumiza kichwa sababu zingine.
kwa kigezo cha gharama mpeleke UDOM, kwa elimu bora mpeleke kwa hao Wahindi (UAD)
Mpeleke UDOM kwasababu ni chuo Kikuu, atakua na advantage katika kuendelea na ngazi zingine za masomo
Ahsanteni sana kwa ushauri baada ya kuchuja na kuyaweka kwenye mizani - safari itakuwa kuelekea UDOM. Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…