Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.
Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.
UDOM wako shallow kwenye mambo ya technologyKijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.
Usikalili mkuu,UDOM wako shallow kwenye mambo ya technology
Mpeleke UDOM kwasababu ni chuo Kikuu, atakua na advantage katika kuendelea na ngazi zingine za masomoKijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.
kama pesa ipo mpeleke unique,,hivi unique uliapply vipi online au?Mkuu una experience yeyote na hawa UNIQUE academy? Ubora wa elimu yao ukoje. Wameipita sana UDOM.
Mkuu ahsante. Mimi nikumuelekeza na kumuwezesha tu yeye mwenyewe ndie aliyechagua fani. Sisi wazee wa enzi hizo bado tuna amini kuwa chuo kina nafasi ya kumjenga kijana kitaluuma na jitihada zake mwenyewe zitazaa matunda hasa kama chuo kitatimiza wajibu wake vizuri. Point yako ya Dar nimeipenda. Hii ya jitihada binafsi naamini amesha ielewa na bado tutasisitiza tena.Hiyo course inahitaji jitihada binafsi sio ubora wa chuo....mpeleke dar kwasababu kule kuna vyuo vingi vikubwa vizuri atapata exposure ya ku compete na wanafunzi wengine wa vyuo tofauti sambamba na kushare material na ujuzi ila kwa udom uwanja ni mdogo wa kujifunza na hakuna vyuo best kwenye technology vya kumpa hasira aone kama bado haja iva labda kwa kozi nyingine ila kwa ict hakuna chuo kina muivisha mwanafunzi lazima jitihada zake mwenyewe na kama yeye mwenyewe hapendi hiyo course usimlazimishe hii course inataka uwe na passion nayo