Ceres Juice inasumu ya patulin, TBS mpo wapi?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,021
Reaction score
28,409
Mataifa saba ya Africa yameiondoa juice ya Ceres sokoni na kuzuia kununuliwa kwa kuwa inakiwango kikubwa cha sumu ya Patulin inayosababisha madhara ya kuhara na kutapika

Nchi za Uganda, Kenya ,DRC , Zambia, Malawi, Seychelles, Mauritius zimelazimika kuondoa juice hii sokoni na kuzuia kuagiza

Japo nchi tajwa zimetumia mwavuli wa COMESA kugomea bidhaa hii inayotengenezwa Africa Kusini ni bora mamlaka za Tanzania kupiga marufuku kwakuwa inauzwa sana hapa nchini na tuko na juices nyingi tu bora za wazawa.

USSR

 
ngoja tumalize kampeni ya "kuchanja" kwanza.
 
Leo ni siku ya mapumziko jamani, msiwasumbue🐒
 
Unaponunua kitu kuwa makini na jina halisi, Cares na Ceres ni juisi mbili tofauti.
 
Acha kupotosha watu!
Jua maana ya recall kwanza. Hata kampuni za magari huwa zinarecall magari mf toyota, gm washawahi kurecall magari yaliyokuwa na shida na breki takribani million 1.
Hapo wamerecall hiyo batch yenye shida na wao kama kiwanda wana process ya kutrack kujua zilipo na wanapotoa tangazo ndio officials regulation zinamtaka afanye hivyo na washawasiliana na madistributor wao kabla hata hujaiona hiyo habari kwenye magazeti.
Note pia hazijapigwa marufuku acha uongo
 
Dah!! Nazinywa sana, sasa sijui itakuaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…