CEOs na uono wa kimkakati

The Consult

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
220
252
Mohammed-Dewji-1k.jpg

Uongozi wa juu katika kampuni (executive leadership) ni dira katika kuhakikisha kampuni inafikia malengo yake (corporate objectives). Uono wa kimkakati (strategic vision) ni ufafanuzi juu ya wapi kampuni husika inataka kufika, na mara nyingi huonyeshwa kupitia kauli ya utume (mission statement) na uono (vision statement) wa kampuni

Watendaaji wa chini katika kampuni wanahitaji kuwa na ile "sense" ya utume (mission) na uono (vision) wa kampuni, wenye dhamana ya kuhakikisha hili linatokea kwa hawa watendaji wa chini ni uongozi wa juu wa kampuni (executive leadership), hivyo kwa maana nyingine uongozi wa juu wa kampuni unapaswa kutafsri utume na uono wa kampuni katika lugha inayoeleweka kwa watendaji wadogo wa kampuni , kama alivyopata kunena CEO wa zamani wa PepisCo; Steve Reinemund kwamba "A leader's job is to define overall direction and motivate others to get there". Kwa tafsiri isiyo rasm ni kwamba; Kiongozi anapaswa kutoa ufafanuzi juu ya uelekeo wa kampuni au taasisi kwa watendaji wake na kuwapa motisha waweze kufikia uelekeo huo.

CEO mwenye mafanikio ni yule mwenye kuwa na uono wa kimkakati, hisia thabiti (strong passion) juu ya kampuni yake na awe na uwezo wa kuwasiliana na watendaji wa chini yake kwa lugha inayoeleweka (s/he should be a charismatic leader) pia anapaswa awe ni chachu ya mabadiliko katika kampuni na kutoa uelekeo juu ya mabadiliko hayo (s/he should be a transformational leader)

Sifa 3 za msingi CEO anapaswa kuwa nazo ni hizi zifuatazo;
  • CEO hupaswa kufafanua (articulates) uono wa kimkakati (strategic vision) ya kampuni. CEO anatoa muelekeo si tu kwamba wapi kampuni kwa sasa ipo, bali wapi inaelekea kwa kujenga taswira kwa watendaji wadogo wa kampuni waone kuwa kazi zao za kila siku zinapelekea katika kuifikisha kampuni pale inapotaka kufika.
  • CEO hupaswa kuwa mfano; CEO hupaswa kuwa mfano kwa watendaji wadogo wa kampuni; katika tabia (behaviour); anapaswa awe na maadili ya hali ya juu (morally and ethically unquestionable). Pia anapaswa aonyeshe mfano katika mavazi (dressing); anapaswa kuwa nadhifu wakati wote, anapaswa kuzingatia maeneo (contexts,occasions) katika uvaaji. Pia CEO anapaswa atukuke katika matendo (actions) . Mfano; kipindi fulani katika mkutano mhandisi wa General Motors alipata tatizo la monitor resolution akitumia Window OS, CEO wa Microsoft, Mr Steve Ballmer ilimbidi kutambaa (crawling) chini ya meza ukumbini kwa lengo la "ku-plug in" komputa ili aweze kutambua tatizo. Hivi ndivyo CEO anapaswa kuwa.
  • CEO huonyesha viwango (standards) vya kiutendaji kisha huwajengea uwezo na hali ya kujiamini watendaji wake katika kufikia hivyo viwango. CEO hupaswa kuwa mwalimu muelekezi (coach) kwa watendaji wa kampuni; hii itawafanya watendaji wa kampuni kuona shughuli na juhudi zao ni muhimu kwa ustawi wa kampuni na hii hupelekea kuwajengea motisha.

The Consult; +255 719 518 367
Dar es Salaam
Tanzania

Kwa huduma za;
  • Uandishi wa michanganuo ya miradi na mipango mkakati (Project Proposals & Strategic Plans)
  • Utoaji wa semina na ushauri katika maeneo ya Usimamizi wa Miradi na Mipango Mkakati (Project Management & Strategic Management)
Karibu at Strategic House

Your Success is My Desire
 
nafurahis sana mada zako for sure nikirudi kazini nakwenda kubadilika kabisa mie ni ceo wa ngo
 
Asante sana...
 
Back
Top Bottom