CEO wa Simba kufungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na mpira

Mtapenda

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
1,115
2,055
CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football

Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma alizozitoa kwa team hiyo inapokea wageni ambao Simba ilikua ikicheza nao champion league na shirikisho

Imeelezwa kua TFF wakiongozwa na karia bado wana hasira na huyo CEO kwakua aliwabania deal la GSM la billion 2 ambapo wanao huyo mwana dada ni kikwazo kikubwa kwao kwenye mipango yao ya kupiga pesa

Lakini tukifuatilia hili sakata ni kweli viongozi wa yanga Manara na Hersi Said wameonekana wazi wazi wakijihusisha na hao wageni kwa kuwapa mbinu za ushindi na kuwapa morali ili simba afungwe hapa kwa mkapa

Kuna ushahidi wa injinia hersi akiongea kwa video calls na baadhi ya wachezaji wa berkane na kuwapa morali ya kuja kwa mkapa na kuwafunga simba na walimpa ahadi ya kutimiza mambo waliyo yajadili..

Pia upo ushahidi Manara akiwashauri team ya nje inayokuja kwa mkapa wasivute ata pumzi ya Tanzania na kuwapa mbinu zote wanazotumia simba kwa mkapa ikiwemo na kuweka sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo .. pia zipo comments kwenye page ya orlando aliyoandika hivi ndugu zao ambao ni yanga wapo kwaajili ya kuwashangilia wakija kwa mkapa hivyo mashabiki watawakuta huku wasije nao..

Nadhani kabla ya Barbara TFF ingeanza na hao viongozi wa yanga kwa kuwahoji ili waeleze vizuri kwanini wanafanya hivyo..

Inaonesha zile 2Billion karia na genge lake wamekula na wahujui namna ya kuzirudisha hivyo wamegeuka kua machawa wa GSM na kufuata matakwa yao yote.. na vikao vyote vinafanyika nyumbani kwa GSM

Kwa hili TFF chini ya karia mjitathimini na viongozi wa serikali wizara inayo husika na michezo itupie jicho huku kwenye football kuna uhuni mwingi sanaa

Ukurasa Instagram wa simbadaily ulifichua hili week mbili kabla na TFF wakakanusha na leo wamekuja na jambo lile lile walilo kanusha ..


1653040259451.jpg
 
Mzee wewe hauna akili ni debw tupu kabisa aisee ata sijui unawezaje kuishi kwa jinsi akili zako zilivyokuwa ndogo yaani wewe ni zaidi ya empty set
Eleza namna akili ilivyo empty ama ume comment kwenye thread ambayo sio
 
Wewe mtoa mada ni bwege tu kama mabwege wengine.. Unafiki tu umekujaa kama Mama Easter wa Shomari Kapombe..
Shame on you
 
Ila kama malalamiko yao yamejikita kuhusu kupinga swala la wao kuwashangilia wapinzani basi TFF kumuita tu barbra kwa ajiki ya jambo hilo nawaona WAJINGA sana

Lqbda kuwe na ishu nyingine ila kama ni hiyo basi tuna mfumo wa kisenge sana
 
Barbra kamfanyia zengwe Morrison afukuzwe Simba hata kabla mda wake haujaisha 'kwa sababu za kutunga'.
Hata naye akitendwa, ni sawa tu!
 
Back
Top Bottom