Matokeo mazuri ya Simba na Yanga yametokana na Senzo

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,897
13,334
Senzo alipokuja kuwa CEO wa Simba ndo hapo mabadiliko makubwa yakaanza kuonekana uwanjani,viongozi wengi walikosa upenyo wa upigaji na kumchukia,usajili mzuri ukafanyika na Simba ikafanya vizuri,baada ya Senzo kuondoka Simba akaingia Babra, aliendeleza alipoishia Senzo ndo alipoona mambo yanaanza kubadilika naye akijitoa kwenye nafasi yake.

Kuanzia hapo upigaji ukarudi na Simba ikaanza kuyumba kwenye suala nzima ya usajili na kiuongozi.

Senzo alipoenda Yanga alikuta uwekezaji mzuri wa GSM na kwa kiasi flani Yanga hawakuwa na tatizo kwenye suala lote la hela kama awali. Yanga ikaanza kubadilika pia na kuanza kufanya usajili mzuri.
Mafanikio ya Simba na Yanga yameanza kutokea baada ya uongozi mzuri wa Senzo,tatizo la Simba Senzo alipoondoka wakarudi kwenye upigaji na kuanza kuyumba uwanjani na kwenye usajili,upande mwingine Yanga ikaendeleza misingi mizuri aliyoacha Senzo na Engineer kupata vizuri somo aliloachiwa.

Senzo amekuwa na msaada mkubwa kwa ubora wa hizi timu zote mbili.

Kuna anayepinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ..anastahili kukumbukwa
 
Wataalamu wa historia watakupinga watakuletea takwimu za ushindi wa magoli na pointi
 
Lakini wakati wa Senzo na Barba upigaji haukwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba marehemu Hanspope alikuwa Kila kitu, alikuwa anasajili mchezaji kwa pesa zake ingawa timu ukipata pesa alikuwa anakata pesa alizotoa. Inonga, Bwalya ni baadhi ya wachezaji aliosajili tatizo Sasa hivi pesa zote wanasubiri mpaka mo aamue ndio maana tumekosa wachezaji wengi wazuri.
 
Senzo alipokuja kuwa CEO wa Simba ndo hapo mabadiliko makubwa yakaanza kuonekana uwanjani,viongozi wengi walikosa upenyo wa upigaji na kumchukia,usajili mzuri ukafanyika na Simba ikafanya vizuri,baada ya Senzo kuondoka Simba akaingia Babra, aliendeleza alipoishia Senzo ndo alipoona mambo yanaanza kubadilika naye akijitoa kwenye nafasi yake.

Kuanzia hapo upigaji ukarudi na Simba ikaanza kuyumba kwenye suala nzima ya usajili na kiuongozi.

Senzo alipoenda Yanga alikuta uwekezaji mzuri wa GSM na kwa kiasi flani Yanga hawakuwa na tatizo kwenye suala lote la hela kama awali. Yanga ikaanza kubadilika pia na kuanza kufanya usajili mzuri.
Mafanikio ya Simba na Yanga yameanza kutokea baada ya uongozi mzuri wa Senzo,tatizo la Simba Senzo alipoondoka wakarudi kwenye upigaji na kuanza kuyumba uwanjani na kwenye usajili,upande mwingine Yanga ikaendeleza misingi mizuri aliyoacha Senzo na Engineer kupata vizuri somo aliloachiwa.

Senzo amekuwa na msaada mkubwa kwa ubora wa hizi timu zote mbili.

Kuna anayepinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,
Azam walindwa wapi!
 
konde alisajiliwa na Mo mwenyewe. Senzo alileta Wabrazil akatolewa na Jwaneng akatimuliwa
Konde usajili wake alikuta jina, yeye ndio alifanikisha kwa kwenda kuzungumza na timu iliyomtoa kwa mkopo. Hakuna CEO anayetoa pesa zake kusajili.
Wabrazil walisajiliwa na Babra.
Wakati jwaneng CEO alikuwa Babra.
 
Akili mfu hizi, maendeleo ni suala la muda tu, muda ulifika kwa vilabu vya Tanzania kuamka na vimeamka, tuache kutukuza watu kwa mambo yasiyo na uhalisia.
 
Senzo alipokuja kuwa CEO wa Simba ndo hapo mabadiliko makubwa yakaanza kuonekana uwanjani,viongozi wengi walikosa upenyo wa upigaji na kumchukia,usajili mzuri ukafanyika na Simba ikafanya vizuri,baada ya Senzo kuondoka Simba akaingia Babra, aliendeleza alipoishia Senzo ndo alipoona mambo yanaanza kubadilika naye akijitoa kwenye nafasi yake.

Kuanzia hapo upigaji ukarudi na Simba ikaanza kuyumba kwenye suala nzima ya usajili na kiuongozi.

Senzo alipoenda Yanga alikuta uwekezaji mzuri wa GSM na kwa kiasi flani Yanga hawakuwa na tatizo kwenye suala lote la hela kama awali. Yanga ikaanza kubadilika pia na kuanza kufanya usajili mzuri.
Mafanikio ya Simba na Yanga yameanza kutokea baada ya uongozi mzuri wa Senzo,tatizo la Simba Senzo alipoondoka wakarudi kwenye upigaji na kuanza kuyumba uwanjani na kwenye usajili,upande mwingine Yanga ikaendeleza misingi mizuri aliyoacha Senzo na Engineer kupata vizuri somo aliloachiwa.

Senzo amekuwa na msaada mkubwa kwa ubora wa hizi timu zote mbili.

Kuna anayepinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said, Senzo alikua master mind
 
Akili mfu hizi, maendeleo ni suala la muda tu, muda ulifika kwa vilabu vya Tanzania kuamka na vimeamka, tuache kutukuza watu kwa mambo yasiyo na uhalisia.
Pengine akili zako ndio zimekufa, maendeleo hayawezi kujileta kama balehe lazima kuwe na mchakakato
 
Back
Top Bottom