Tatizo la wafanyabiashara wetu sijui ni nini.
Bidhaa ikipanda bei ni ngumu kushuka, mfano mbao soko lake lilitakiwa kuwa rahisi sana tuna miti ya mbao mingi sana nyanda za juu kusini mpaka wachina wananunua sasa na kutengeneza bidhaa mbali mbali.
Lakini bidhaa ya mbao imekuwa bei juu na haioungui bali inazidi kupanda.