Tungerudi barter tradeNimekuelewa Yaani Sasa Hivi Tanzania Tusingekuwa Na Noti
Hahha ingekua ujinga mzeeHaa
Ndizi Fuso Moja Unabadilishana Na Gunia Mbili Za Chumvi Ya Uvinza Kigoma
Ikiingia Maji Huna Hofu Yaani Unatumia Tu, Tofauti Na Hizi Za KaratasiNimeshaziosha sana na nguo na ziko hivyo hivyo.
Note zilizo na mfumowa plástico ni 20, 50 na 100 meticais.View attachment 1171063