Celibacy . . .

sio ngumu kivile

ila tu, kusudi la useja lazima liwe wazi ili mtu aweze kabiliana na vishawishi.

Sio lazima useja wa kudumu hata wa muda unasaidia sana.

 
Last edited by a moderator:
kuna swali kauliza Ngabu nikachanganyikiwa.

Ni aje kama katika hali ya useja huo ukaota ndoto unajamiiana na kupata ile nafasi ya kufurahia.

Je, useja huo bado unakuwa unatambulika? Wengine huwa wanasema, ndoto ni matokeo ya mambo tunayoyawazia.

Mwl snowhite me miss u too.... Kongosho kaanzaga kumwongelea huyo zombie wake muda tu. Something is cookin up, kiboko ya mkate chai.
 
Last edited by a moderator:
sio ngumu kivile

ila tu, kusudi la useja lazima liwe wazi ili mtu aweze kabiliana na vishawishi.

Sio lazima useja wa kudumu hata wa muda unasaidia sana.

Twambie basi kusudi lako la kuachana na utamu utamu....

Vinginevyo wenye akili zetu tutajua tu kuwa ni bange bange zinasumbua kwa kichwa...Au sumu ya Zombie imegusa kwenye nerves ambazo ni muhimu kwnye kuendesha engine ya Kongosho..

Kazi unayo mjukuu wangu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Okiota ivo tu umeshaharibu useja!
 
he he, kuna mambo mengine yanahitaji akili itawale mwili.

Labda nimetumwa kwenye kazi ya kijasusi nitakayokuwa huko kwa miaka kadhaa.

Ama nimepata skolaship ya kwenda nje, na mie sitaki kuchakachua huko.

Ama natafuta nguvu za kiroho zaidi.

 
Last edited by a moderator:

After starting her celibacy expect this thread at MMU from Kongosho in few years to come.

I tried being a celibate, I refrain from masturbation and it's been a quite long and EMT helped me a lot. But last night I had a wet dream and reached an orgasm in the end which I realized after the end of that wet dream.

Now I'm really confused about whether I have failed miserably at preserving my celibacy. Now I think that I could not control my thoughts of sexual pleasures which resulted into this wet dream.

I can rightfully say that I did not voluntarily indulged in this act, but it just happened and I feel really guilty about this. Am I really guilty because I really don't want to be slave to all sense pleasures and want to break really from it.

Please do help me with this confusion.
 
Last edited by a moderator:
he he, kuna mambo mengine yanahitaji akili itawale mwili.

Labda nimetumwa kwenye kazi ya kijasusi nitakayokuwa huko kwa miaka kadhaa.

Ama nimepata skolaship ya kwenda nje, na mie sitaki kuchakachua huko.

Ama natafuta nguvu za kiroho zaidi.

Kwa vile hata wewe hujui,

Basi turuhusu tukwambie kuwa unahitaji dozi ya Zombie haraka ili ipunguze hizo nyota nyota kichwani..

This has to be urgent, kabla hatujakupoteza!

Babu DC!!
 
Tangu lini Bishanga kawa Padri?[/QUOTE]

Yaani Bishanga ahusishwe na celibacy!?!?!?? Makubwa haya wajameni, hii si sawa na kutoa ofa ya "mdudu" msikitini kweli?
 
kwanini meeeen?

Halafu snow naona tunaingia shift tofauti, haiwezekani tukawa tunapishana kiasi hichi, ngoja nilifanyie kazi hili.....

Unauliza kwanini? Kwani we hujui wagombanapo wapenzi nyie shikeni jembe mkalime??

Au unataka yakushinde mwaya??
 
Last edited by a moderator:
Hili swali la msingi sana

Nitaenda kupata views za baba paroko afu niwaletee majibu

 
Nshamtelekeza zombie

Nilifanya vizuri kuleta uzi ule hapa, miliniamsha usingizini

Kwa vile hata wewe hujui,

Basi turuhusu tukwambie kuwa unahitaji dozi ya Zombie haraka ili ipunguze hizo nyota nyota kichwani..

This has to be urgent, kabla hatujakupoteza!

Babu DC!!
 
Halafu snow naona tunaingia shift tofauti, haiwezekani tukawa tunapishana kiasi hichi, ngoja nilifanyie kazi hili.....

Unauliza kwanini? Kwani we hujui wagombanapo wapenzi nyie shikeni jembe mkalime??

Au unataka yakushinde mwaya??
hahahhahahahhahhahha jitahidi mwaya !
mi ya Kongosho ngoja nione tu mwishoi wake!
 
Last edited by a moderator:
ujue hii kitu ina umuhimu sana kwa vijana wanaokua

ila wakati wa kuelezea lazima niwe na uhakika nachowafundisha.

Mazingira yangu ya zamani ni tofauti na ya vijana wa leo, siku hizi wana hashuana.

Nilitaka kujua practicability ya useja kwa vijana katika dunia ya leo.

Ukiweza kuunganisha useja na mambo ya imani, inamsaidia kijana japo kufika 18 bila kushiriki mambo ya ngono.

Hili ni somo kwa wale wenye wajukuu, hasa ambao hawajaanza mambo ya kikubwa kuwafundisha kwa ku-pin point na imani yao.

Nimejifunza kwa kweli.

Kirahisi namna hiyo?

Mbona dalili zake bado umebebana nazo?
 

kwan p.unyeto ni tendon la ndoa au laa?
 
Kaka, I think you have mistaken me for someone else...
 
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…