Celibacy . . .

Hahahahahahah si hivyo bana mkuu, ila at sm point in my life ilikuwa niwe mtawa so nilikuwa napractise usafi wa moyo..............

So, what stopped you from being mtawa?

Would you ever do it again kama ukipewa chance?
 
Babuyao shikamoo.......
hili la chastity sikulijua kabisaa

Ndo hivo tena FP. Chastity inatakiwa kushikwa na watu wote: waseja (celibate), wanandoa na wale ambao bado hawajaoa. Lakini kila kundi linaishika chastity kulingana na hali yake. Kwa mseja ni kujiepusha na kila jambo linaloweza kumuingiza kwenye kuanguka iwe kimawazo au kimatendo. Mwanandoa anaishi chastity kama nilivoeleza hapo juu. Mtu ambaye hajaoa lakini ana mpango wa kuoa anatakiwa kushika chastity kwa kutojamiiana na yeyote; lakini pia kwa kujiepusha na vitendo vyote vinavyoweza kumchafua kiroho kwa mawazo, maneno na matendo.
 
its a long story,bt nadhani haukuwa wito wangu, if nikipewa chance yes i can do it, kwani ni practice flan ambayo imenijenga kustay without sex for so long bila tatizo lolote!!
So, what stopped you from being mtawa?

Would you ever do it again kama ukipewa chance?
 
hayo yangewezekana mbona pressure zisingekuwepo kabisa, lol! maana wanasema eti mapenzi yana-run dunia.........
sasa hiyo celibacy inaweza kufanywa na mtu ambaye alishawahi kuwa sexually active (yaani alikuwa ana-practise) baadae akaamua kuacha (kama anavyotaka kufanya rafiki yangu Kongosho )? au unatakiwa uwe PURE?
 
Last edited by a moderator:
 
Reactions: EMT
its a long story,bt nadhani haukuwa wito wangu, if nikipewa chance yes i can do it, kwani ni practice flan ambayo imenijenga kustay without sex for so long bila tatizo lolote!!

Good for you. Mie did it for 10 years, but it was not related to sex whatsoever though. lol
 

Fp ujue kila kitu ni mazoezi tu na pia neema za Mungu. Mtu ambaye alishaanza kula tunda na pengine akakolea na kukolea anaweza akiamua kuishi useja kama commitment, yaani useja ule wa kidini. Yaani anaamua kutokuoa au kutokuolewa kwa ajili ya kumtumikia Mungu. Hivyo anakula kiapo cha nadhiri. Anaweza kuishi useja lakini lazima apitie malezi ya muda mrefu na mazoezi ya muda mrefu kuishi bila kufanya sex. Mwili utazoea taratibu na kwa msaada wa sala na neema za Mungu atafaulu tu kushinda vishawishi vya mwili. Si kwamba drives za sex zinakufa la hasha ila zinatawaliwa na higher good/values ambazo mtu anakuwa amechagua: yaani kumweka Mungu juu ya kila kitu.
 
samahani, leo nina maswali hapa ni balaa........
kwani kuwa mseja ni lazima kwa ajili ya kumtumikia Mungu tu? siwezi kuamua kuwa mseja hivi hivi nikaishi tu nyumbani kwangu na nyumba ya ibada nahudhuria kama kawaida?
je watu ambao wamefiwa na wenzi wao, wakaamua sasa basiiiii sitaki kabisa kuendelea na mchezo na mtu mwingine, na kihakika akabaki hivyo, naye anaweza ingie kwenye kundi la waseja? yaani hapa kaamua tu na wala hahitaji hayo mafungo/maombi/upako/neema za Mungu...... ili awe mseja
 

Unaweza kuamua kuishi useja nje ya kumtumikia Mungu, ila kiukweli ni ngumu sana-sana katika maana kwamba unaweza kuamua kuishi msingi wa useja (yaani kutokuoa/kuolewa) lakini ukashindwa kuishi bila kufanya sex. Hii ni kutokana na mazingira unayoishi, lakini pia kutokana na kukosa malezi mazito na endelevu ya kujitawala. Kumbe useja kamili nje ya lengo la kidini ni mgumu sana na almost hauwezekani; vinginevo uko mgonjwa kimwili (yaani huna ashki kabisa).

Mtu aliyefiwa na mke au mume wake anaweza kuamua kutoakuoa au kutokuolewa tena. Hata hivyo mtu huyo itakuwa ngumu sana kuuishi useja katika ukamilifu wake kwani licha ya kutokuwa na mume au mke lakini anaweza akawa na kampani anaonja-onja (anakosa usafi wa moyo). Sasa huo sio useja ktk maana halisi. Iwapo atafaulu kujitawala na kujinyima kabisa basi anaweza kuitwa mseja katika maana halisi.
 
hapo kwenye RED ndo swali langu lilipodondokea, asante sana kwa jibu, kumbe inawezekana....ni swala tu la kufaulu kujitawala..........
unajua mimi huwa najiuliza sana (labda hii ni topic nyingine sasa) kwa nini watu wanadhani kama mtu ni mzima wa afya haiwezekani kabisa "kufaulu kujitawala?".........
mi nadhani inawezekana kabisaaaaaaa tena bila shida yoyote, ni uamuzi tu.......... TEJA asingeniwahi ningejaribu ku-test hii hypothesis nione kama kweli isingewezekana, lol!
 

Ni kweli imepitia hatua nyingi mpaka kufika hapa ilipo. Kama umeshasikia kundi la Cell 16 ambalo lilijumushia wanawake very radical. Walikuwa wanatumia celibacy kuupinga mfumo dume.

Walikuwa wanasizitiza kuwa wanawake wajiengue kutoka kwa wanaume ambao walikuwa hawako tayari kumkomboa mwanamke. They did this by having periods of celibacy.
 
mmmhhhh! sasa mnanichanganya...... kumbe hii hali unaweza kuwa in and out? siyo permanent?
 

Fp sexual drives zina nguvu sana; bila malezi mazito na pia mazingira conducive ni ngumu sana kuhimili sexual passions. Kwa hiyo kujitawala kabisa huku ukiwa katika mazingira ya watu wanaoishi kwa kula tunda ni ngumu sana. Utakuwa na marafiki zako, wenzi wako wa kazi , wapangaji wenzako, nk. wote hawa wana watu wao. Ni ngumu sana kukwepa ushawishi wa hao. Isitoshe kila unapopita unatongozwa na wanaume au wanawake; na wewe una hamu ya kufa mtu, na tena huna malengo ya pekee kama yale ya kidini yanayomweka Mungu nafasi ya kwanza; unadhani utasalimika kweli? Unaweza kuresist kwa muda fulani - sikatai - lakini mwisho wa siku uwezekano wa kula tunda ni mkubwa. Na ukishaanza basi ni mwendo kwenda mbele. Ila nasema ni ngumu sana si kwamba haiwezekani kama mtu akiamua, japo mbele ya macho ya watu ataonekana ana kasoro kubwa sana.
 

Katika mwezi wa Ramadhani, Waislamu huwa wanakuwa na temporary celibacy ambapo wanatakiwa wa-abstain from sexual relations during the strictly daily that extend from daybreak to sun down.

Pia wale wanaoenda Mecca wanatakiwa wa-abstain from sexual relations wakati wakiwa kwenye state of ritual consecration kwa siku kadhaa. Temporary celibacy ni normal katika dini ya Kiislamu na imekuwa extended kwenye rituals nyingine.

Tofauti na dini za kikristo, dini ya Kiislamu haimini kwenye permanent celibacy. Quran (57:27) inasesema "But the Monasticism which they invented for themselves, We did not prescribe for them but only to please God therewith, but that they did not observe it with the right observance."

Pia katika mafundisho Mtume Mohammad alizungumzia celibacy: "There have been people who have come to the prophet and explained how they love to be engaged in prayer and fasting for the sake of God. The Prophet Mohammed told them that, despite this being good, it is also a blessing to raise a family, to remain moderate and not to concentrate too much on one aspect as not only can this be unhealthy for an individual as well as upon society, it may also take one away from God."

Source: "Celibacy and Religious Traditions", edited by Carl Olson
 
@Snowhite hata mie simuelewi huyu Kongosho kwanini anataka kuachana na UTAMU. Kongosho NANI KANUNA? Ni aje Mkuu? lol!


vipi tena!
na huu mwaka mpaka uishe huu mbona we have a lot in store!ahahahhaahahahhah JHUU YA NINI KUANZA KUULIZIA MAKITU YA KUACHA MASUKARI GURU!lol konnie nini mamie?
 
Last edited by a moderator:
@Snowhite hata mie simuelewi huyu Kongosho kwanini anataka kuachana na UTAMU. Kongosho NANI KANUNA? Ni aje Mkuu? lol!


ahhahahhahhahahhaahh hapa lazima zombie linune!manake akikuta tunamswalika maswali ya aian hii si litajua hatumtakii maendeleo ya kumpata the sealed konnie!katika hili inabidi tuwe vere makini kutoa maushauri! Kongosho kakwama BAK ametingwa ile mbyaaaaa!kawekwa mtu kati anafanya kuitika kwa kichwa tu!ahaahhahahhahhahahaah naona kabisa dalili ya kuongezeka teja la kudumu hapa! dada mkubwa FP ulipo lile daftari letu la register ya mateja nafikiri halipo mbali!please!please SOON AND VERY SOOON!kuna atakayekiri kwa kinywa hapa!kwa hiyo rafiki wala usijiulize maswali mengi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…