Celery juice

Anfibix

Senior Member
Dec 1, 2018
190
308
Naona hype kubwa ya watu especially huko abroad kuhusu celery juice. Kuna mtu alishawahi kujaribu kunywa hyo juice? Wapi ulipata celery and ilikusaidia kiafya? Kwa Kiswahili wanaita FIGILI
 
Sijui kiswahili chake ila goole kwa celery hata insta kuna mzungu anaelezea vizuri, juice hii haichanganywi na chochote
 
Naona hype kubwa ya watu especially huko abroad kuhusu celery juice. Kuna mtu alishawahi kujaribu kunywa hyo juice? Wapi ulipata celery and ilikusaidia kiafya? Kwa Kiswahili wanaita FIGILI
Ndio leo nimejua kwamba figiri huitwa celery.

By the way tonight hapa familiani tumetwanga nguna figiri na mafekechefekeche mengine. Msosi ulikuwa mwendole wa hela yote.
 
Sio kweli. Fanya utafiti upyaaa. Aliekwambia kakulisha tango poriii

Naomba unisaidie kwa hili maana celery inasaidia sana kuondoa gesi tumboni
Sasa google wanachanganya kwani hakuna wanaosimamia maana zake

Celery na Radish zote wameandika maana moja
Nisaidie je hii ndio figili?
IMG_4357.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom