Cecilia Pareso (CHADEMA) ampongeza Rais Samia kwa kufanya Royal Tour inayoongeza Watalii, yamuomba aifanye Karatu kuwa mji maalum wa Utalii

Mrisho Gambo hoyee, Arusha wamewakilisha vizuri

Wabunge wa Kilimanjaro, walikosa agenda ya Pamoja ya kumwambia Rais..kuna biashara zao la kahawa, pembejeo za kuliko kupanda, Parachichi, yaani uchumi kwa ujumla

Professor Mkenda Mbunge wa Rombo, amejikita zaidi kwenye uwaziri...Mbunge wa Rombo..haangalii kero za wanarombo.

Mbunge wa Rombo, amekumbatia matajiri kama Mramba.... Mashamba yaliyovunwa miti, matajiri wanagawana. Wajane na wamama , vijana wanandikishwa majina Kila mwaka, hawapewi hata Eka Moja

Matajiri wanahodhi hayo mashamba, Eka 5 mpaka 30. Hapo iangaliwe pia na Rushwa, PCCB IKO KIMYA

Professor Mkenda, hujui hayo mambo? Basi husikilizi kero za wajane Tarakea..tena sehemu uliyozaliwa
Mramba amefufuka!
 
Hizi sifa ni pigo kubwa kwa team pinzani ambayo inapenda kuona team serikali ikilaumiwa hata kwa yale mazuri inayofanya. Namshauri Tundu Lisu amuombe mama amkabizi ubalozi wa Belgium afanye kazi, ila kama anafikiria kurudi 2025 kupambana na mama basi atakosa hata kura ya mkewe.
Dudumizi acheni kujitoa akili Kwa kulazimisha kugeuza uovu kuwa wema.
 
Ccm haitegemei kura kukaa madarakani.
Hizi sifa ni pigo kubwa kwa team pinzani ambayo inapenda kuona team serikali ikilaumiwa hata kwa yale mazuri inayofanya. Namshauri Tundu Lisu amuombe mama amkabizi ubalozi wa Belgium afanye kazi, ila kama anafikiria kurudi 2025 kupambana na mama basi atakosa hata kura ya mkewe.
 
Mbunge wa viti maalumu Chadema mh Cecilia Pareso kwa niaba ya chama chake amempongeza Rais Samia kwa kushiriki Royal tour yenye lengo la kuongeza Watalii.

Pareso amesema kwa sasa Tanzania hupata wastani wa watalii 1.5 milioni hivyo wanaamini loyak tour itaongeza takwimu.

Kadhalika Pareso amesema Karatu ndio mji pekee wenye hotel nyingi za kitalii takriban hotel 58 zenye hadhi ya kimataifa na ndipo watalii wengi kama siyo wote hulala kabla ya kwenda mbugani hivyo kwa niaba ya Chadema amemwomba Rais Samia aifanye Karatu kuwa Mji Maalumu wa Utalii.

Chanzo: ITV

Jana dish lilikuwa timamu leo limeyumba tena 😁😁
 
Bado tu mnaamini kuwa covid19 ni wanachadema?
 
Mbona unalazimisha tuwe na wabunge ambao hawapo? Si mlitaka chadema kife?? au hamtaki tena?
 
Mbunge wa viti maalumu Chadema mh Cecilia Pareso kwa niaba ya chama chake amempongeza Rais Samia kwa kushiriki Royal tour yenye lengo la kuongeza Watalii.

Pareso amesema kwa sasa Tanzania hupata wastani wa watalii 1.5 milioni hivyo wanaamini loyak tour itaongeza takwimu.

Kadhalika Pareso amesema Karatu ndio mji pekee wenye hotel nyingi za kitalii takriban hotel 58 zenye hadhi ya kimataifa na ndipo watalii wengi kama siyo wote hulala kabla ya kwenda mbugani hivyo kwa niaba ya Chadema amemwomba Rais Samia aifanye Karatu kuwa Mji Maalumu wa Utalii.

Chanzo: ITV
Good , ushauri umechukuliwa,,mama sio mbaguzi kama yule Dhalimu lakini pia alitakiwa kuwasiliana na Waziri au kulizingumza hili kwenye ziara ya mama.
 
Back
Top Bottom