mkuu najua ni 2 2 lkn ndo natia timu shemeji yako alikuwa amening'ang'ania mpira ulikuwaja kwa ufupi!
masikini Nadir!hivi si ndo alikosa penalty siku ile huyu!!anyway lets hope for good!!!Khamis kafunga dk ya 20, ya 30 nadir kajifunga sijui, ya 75 Aggrey Morris akatuinua, ya 80 Baraza wao akatukalisha, ndo ngoma ikabidi iongezewe muda. Kenya washalamba njano 2, Zanzibar 1
kaka lazima wachoke!!dakika zote hizo na chakula yao nasikia huwa ulojo watahimili kweli!!ila nawaombea!!Kwa ujumla zanzibar ni wazuri kuliko wakenya, japo hivi sasa wazenji wanaonekana kuchoka kuliko mwanzo.
Ule Mpira ulikuwa umetoka mkuu....mfungaji hakuwa offside....
masikini Nadir!hivi si ndo alikosa penalty siku ile huyu!!anyway lets hope for good!!!
Hawa wapemba wafungwe tu
ha ha ha ha ha!!! WABHEJASANA!!!!!!!!!!!!!!Kuna nini mkuu???!!!!,hivi mmetokea wapi mbona mnakuja na maneno ambyo hayaeleweki jamani?!!
masikini Nadir!hivi si ndo alikosa penalty siku ile huyu!!anyway lets hope for good!!!
Hivi Tz na Ug wanaanza saa ngapi?
Tz hawapo kwenye haya mashindano!!kuna Tanganyika na Zanzibar!!!Hivi Tz na Ug wanaanza saa ngapi?
Hivi Tz na Ug wanaanza saa ngapi?
watakuwa wamemaliza kupigiana penalty!!Moja kamili mkuu!
oooops!!nani huyo?dak 23 Nyekundu zanzibar wanapewa.
watakuwa wamemaliza kupigiana penalty!!