Ushangiliaji wa goli la kwanza unaweza ukamponza huyu mfungaji wa Burundi, Christopher. Alipofunga alikimbilia kwenye kibendera na kuonyesha alama ya shooting kwa kutumia bunduki. Ikumbukwe kuwa Burundi imechangia jeshi katika kikosi cha la Afrika kule Somalia, jambo lililowaudhi wasomali wenye msimamo mkali