Cecafa kagame cup groups 2013

timu za Sudan msimu huu zimeshuka ubora zimetolewa round ya 1 na nyingine round 2 kwenye michuano ya CUF, mnyama atatamba kama unanyojua Simba ndo mwakilishi bora tz kwenye michuano ya kimataifa

labda mataifa ya tanganyika na zanzibar, zaidi ya apo hajawai gusa kombe nje ya nchi,.
 
Afu sjapenda huu mwendo wa makundi ma3 kwanini nchi kama kenya,uganda,rwanda ambazo soka lao lipo juu wasilepeleke timu mbili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom