CDS COURIER COMPANY ZAIDI YA KAMPUNI ZA USAMBAZAJI

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
CDS ni kampuni ya usafirishaji na usambazaji wa mizigo iliyojipatia umaarufu duniani kulingana na kufikisha huduma popote muhusika alipo yaani door to door services.Huku ikishirikiana na kampuni ya kimarekani FED EX imezidi kujipatia umaarufu kwa huduma zake na kushinda tuzo mbalimbali za ufanisi.Kwa mahitaji yote ya kutuma parcel mahali popote duniani watembelee www.cds.co.tz kwa further info.
 
Back
Top Bottom