haha ha uingereza uijue wewe?? usiniache hoi! mm siwezi kuijua moshi sana maana huwa naenda tu kikazi au kwa matembezi! ila uingereza huwezi kunificha kitu, naifahamu maana nimesoma elimu yangu yote humo!!wewe kama waja na kuondoka sisi twaishi humu!
Acheni kubwabwaja wekeni picha. Seeing is believing
kwanza uingereza magaidi hawaruhusiwi!!
Ebu tupe taarifa yako kaenda kufanya nini, na kama amekwenda kwa shughuli binafsi gharama za safari yake kajigharamia au zimetoka serikalini na ameongozana na nani katika msafala wake maana isije ikawa wewe ndo una uhakika na ulichokiandika.Jamani tunapojaribu kuandika kitu humu tuwe tunaandika jambo ambalo unakuwa nalo uhakikika! Waziri mkuu hayuko UK kwa shughuli za kisiasa na wala hajafanya mkutano wa kisiasa! Hata kama tunaipinga CCM tusuzushe jambo ambalo halipo! Kama huna cha kupost humu kapost mada zindine sio lazima siasa! Siasa inahitaji ukweli sio kuandika tu bora umeandika.
Asante, nilikuwa chakaNa wewe unaokena kama mzembe fulani hivi wa kusoma posts.
Picha zimeshawekwa kwenye post namba 39 hapo juu bado unabwabwaja picha ziwekwe.
Asante, nilikuwa chaka
Ukweli husemwa:
Wewe ndiyo umekurupuka bila kuisoma post yake vizuri. Amesema, Waziri Mkuu hayuko UK kwa shughuli za kisiasa na wala hajafanya mkutano wa kisiasa.
Jamani tunapojaribu kuandika kitu humu tuwe tunaandika jambo ambalo unakuwa nalo uhakikika! Waziri mkuu hayuko UK kwa shughuli za kisiasa na wala hajafanya mkutano wa kisiasa! Hata kama tunaipinga CCM tusuzushe jambo ambalo halipo! Kama huna cha kupost humu kapost mada zindine sio lazima siasa! Siasa inahitaji ukweli sio kuandika tu bora umeandika.
mtazibiwa kote kote!! magamba yanayonuka dunia nzima!!Chadema bana badala ya kujenga chama vijijini mnakimbilia London.