CDM tuchukue msiba wa Gongo la Mboto na kuwaenzi mashujaa waliotelekezwa na CCM

KICHAKA

Member
Jun 17, 2009
58
9
Kwa kuwa bunge limeisha na hakukuwa na jambo la maana nadhani ni wakati kwa viongozi wa CDM kutuunganisha ili tufanye maombolezo ya kitaifa kwa mashujaa wetu waliofariki na kuumizwa na mabomu. Tufanye hivi haraka kwa kuwa CCM imeonesha kuwatelekeza wahanga na hivyo ni sisi pekee tunaoweza kuonyesha tuko nao wakati wa dhiki na raha.
 
Sure..
Politics is all about chances...
You make a mistake, i use it to make a fortune!
Kwa hali ilivyo sasa wananchi wote wa Tanzania wanaona wamekosa political/ party umbrella ya uhakika, na hivyo atakayekomaa kuwasikiliza kwa vipindi kama hivi vya matatizo(siyo wakati wa kampeni tu) ataonekana yuko serious zaidi!
 
Back
Top Bottom