CDM mafanikio yapo mlangoni

Ni nguvu ya bangi hiyo, stimu zikishuka na wao watapoa tu. Hakuna cha CDM hapa,kelele zote hizi wakati wabunge 23. halafu mnasema tanzania tumeamka.

Acha matusi na kejeli mkuu,we ndio unauza hizo bangi?
 
Omr ukiwa mkweli wa nafasi yako toka moyoni mwako una amini CDM walishinda ubunge viti 23?jiulize tena then pata majibu yako mwenyewe?Hivi una amini mtu anaweza shinda kwa kura mmoja kule shinyanga?una amini matokeo ya kweli yanatangazwa chini ya mtutu kule Kibaha mjini?hebu tafakari na yapitie matokeo ya Bukoba mjini, Ngara, Karagwe na majimbo mengine mengi
 
Bujibuji CDM wako mlangoni kwa kuwa hawana dola ndio wanaitafuta kwa nguvu ya umma na sio nguvu ya intelejensia, wako mlangoni kuja kuwatoa mliondani kwa hila na uzandiki, msio na machungu wala kujali wenzenu walio nje, hamna mapenzi na taifa lenu wenyewe lilowalea na kuwatunza, mko ndani mnauza hata samani za ndani kwa bei ya kutupa sijui watoto na wajukuu zenu wataridhi nini ndio maana CDM ipo mlangoni kuwatoa
 
Mkiondoka wanawasahau, wanasubiri mwingine awaletee t-shirt na ubwabwa.
mwenyewe unadhihirisha nyinyi ni wa kuwapa T-shirt na ubwabwa tena mnawakosea adabu mara moja kwa miaka mitano wakati wenzenu wanaendea mikono mitupu na wakati mwingine wananchi wenyewe ndio wana wachangia, sijui posho unazosema zinatoka wapi wakati ziara hizi wabunge ndio wana changa?
 
wanakusanya posho za safari hao.

Kweli akili zenu zimeharibiwa,ungejua watu wanalala njaa na kula chips mayai,hii ikimaanisha msosi na starehe ya milo mizuri si kipaumbele.Nyie bado mnaendekeza posho,fanya utafiti ujue nani anapewa posho na ni kiasi gani.kweli mmeoza.
 
CCM na wafuasi wao bado wanadhani wananchi wanaongopewa kwa rushwa za mara moja kwa mwaka
 
Back
Top Bottom