CDM imenipa ubunge A.Mashariki-Makongoro Nyerere

Kwamba alikua hana hata nauli yakwenda dodoma!!?? huo uongo sasa. Huyu ni mume wa jaji mfawidh mahakama kuu kanda ya Arusha atakosa nauli kuja dom kweli?
 
If I were an MP I would vote for the captain, MAKONGORO, for his outstanding performance and confidence during the Bunge grill. He outsmarted all by far, including the bogus PhD holders who were a shame to the title and the nation (PhD performed miserably): they better remain in lecture hall, dictating to half-coocked students. When you ask them, why you students fail? They reply, 'b'se they are poor in English.' Now we know that, they, themselves are the poorest in the Queen lingua franca. To hide the fact that their English is pooooooooooooor, they 'ili tuweze kuelewana ntafundisha kwa Kiswahili ...'

Mbunge mteule wa A.Mashariki Makongoro Nyerere amesema kura za wabunge wa CDM ndizo zilimfanya kushinda ubunge huo.Makongoro amesema wagombea wenzake kupitia CCM walitishia ushindi wake kutokana na jinsi walivyokuwa wanatembeza rushwa.
Makongoro amesema alikuwa hana hata nauli ya kwenda Dodoma lakini alimtegemea Mungu.Amesema CDM walipotaka kususia uchaguzi ule aliamini mwisho wake ulikuwa umefika kwani kura zote za wabunge wa CDM zilikwenda kwake.Amesema ni ngumu sana kugombea nafasi yoyote kupitia CCM kama huna hela za kugawa.Makongoro ameendelea kusema kwamba chuki ya rushwa waliyo nayo wabunge wa CDM ndiyo iliyomuokoa kwani anaamini ni vigumu wabunge wa CDM kuchagua mtoa rushwa.Amemalizia kwa kusema shukrani yake kwa CDM ni kwa yeye kuwatumikia wananchi wote bila ubaguzi wowote.

SOURCE:TANZANIA DAIMA
 
Back
Top Bottom