CDM: Helicopta 3 kutua Dar siku ya kufunga operation

chopa tatu?!!kumbe tuko kwenye showoff time?.siasa za ubishoo siku hizi fashen?

endeleeni na fasheni za kizamani ktk kueneza chama,wenzenu cdm wanatwanga kotekote, angani. Jf. Fb, twt n.k ccm kalieni kutumia wajumbe wa nyumba kumi waliopigika kimaisha na ukosefu wa elimu na weledi.
 
Mrema alipotimka, akatimka na mashabiki wake. Hicho ndicho kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Kuna watu wenye mtazamo finyu wanaamini kwamba chama hiki ni imara sana kwa sasa kiasi kwamba hata wakimfukuza Zitto kitaendelea kubaki imara. Wamesahau kwamba wamejenga ufuasi kwa viongozi, na hivyo watakapomfukuza Zitto atatimka na wafuasi wake na chama kitayumba
 
Dar es salaam hamuwawezi hata cl Moja siyo wajinga Kama wengine! TMK walikuwa wa kwanza kupokea upinzani wakaona shida zao wakaachana nao kabisa!

Peleka ujinga wa CDM Ilala Kama hukufukuzwa!
 
Nitacheka sana siku hiyo mtapata aibu ya mwaka watu wa dar wameona ndege hadi ya obama halafu leo wakashangae chopa ya matapeli ya siasa thubutu.
 
mrema alipotimka, akatimka na mashabiki wake. Hicho ndicho kinachoendelea ndani ya chadema. Kuna watu wenye mtazamo finyu wanaamini kwamba chama hiki ni imara sana kwa sasa kiasi kwamba hata wakimfukuza zitto kitaendelea kubaki imara. Wamesahau kwamba wamejenga ufuasi kwa viongozi, na hivyo watakapomfukuza zitto atatimka na wafuasi wake na chama kitayumba

tuondolee cd iliyochunika na kukwaruzika.
 
Wewe wtu wa dsm sio wajinga hata siku moja ndio maana chadema wanapaogopa
Heshima yako mkuu za siku,
kweli mkuu dar siyo watu wa hivyo ndiyo maana hawa walaghai wa siasa wanapazunguka hawalengi waje na hayo makopo yao ya taka wataona matokeo yake.
 
Dar es salaam hamuwawezi hata cl Moja siyo wajinga Kama wengine! TMK walikuwa wa kwanza kupokea upinzani wakaona shida zao wakaachana nao kabisa!

Peleka ujinga wa CDM Ilala Kama hukufukuzwa!

Umesahau kawe name ubungo kaka
 
Mrema alipotimka, akatimka na mashabiki wake. Hicho ndicho kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Kuna watu wenye mtazamo finyu wanaamini kwamba chama hiki ni imara sana kwa sasa kiasi kwamba hata wakimfukuza Zitto kitaendelea kubaki imara. Wamesahau kwamba wamejenga ufuasi kwa viongozi, na hivyo watakapomfukuza Zitto atatimka na wafuasi wake na chama kitayumba

mbona zitto kishatimuliwa ?
 
Kweli? Naona unajiliwaza na mitandao wakati mikoani hizi takataka zinapigwa kiberiti!

522080_510251082372224_138549568_n.jpg
 
Hayo maandamano yenu pelekeni mkambako, msimbatin sombetini rusha watu wa dsm haawanaga time na chadema.
Acha uongo wewe,Wangemchagua mnyika na Halima Mdee?Nahao madiwani wachadema huwaoni hapo Dar?Fikiri kabla yakuposti wewe!
 
Dar es salaam sio washamba wa helkopta, Pelekeni Uchagani.

Kweli wewe kinyesi juu ubongo chini!KIA iko kwenu kwamba wachaga hawajui ndege?Mwenyekiti alisema tuwe tunachanganya nazakwetu sawa!
 
We chekelea tu hizo helkopta. Unajua pesa za kurushia zinatoka wapi. CDM ni zaidi ya mafisadi kwa tunaojitambua na kuelewa hali ilivyo.
 
Back
Top Bottom