nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
teh teh,acha kujipendekeza, dar haiwezi ikasemewa na watu wasiojua mbele wala nyuma kama wewe! Kuendelea kuikumbatia ccm ni kuangamiza taifa letu!Jana, leo na kesho
teh teh,acha kujipendekeza, dar haiwezi ikasemewa na watu wasiojua mbele wala nyuma kama wewe! Kuendelea kuikumbatia ccm ni kuangamiza taifa letu!Jana, leo na kesho
chopa tatu?!!kumbe tuko kwenye showoff time?.siasa za ubishoo siku hizi fashen?
Wewe wtu wa dsm sio wajinga hata siku moja ndio maana chadema wanapaogopa
mrema alipotimka, akatimka na mashabiki wake. Hicho ndicho kinachoendelea ndani ya chadema. Kuna watu wenye mtazamo finyu wanaamini kwamba chama hiki ni imara sana kwa sasa kiasi kwamba hata wakimfukuza zitto kitaendelea kubaki imara. Wamesahau kwamba wamejenga ufuasi kwa viongozi, na hivyo watakapomfukuza zitto atatimka na wafuasi wake na chama kitayumba
Heshima yako mkuu za siku,Wewe wtu wa dsm sio wajinga hata siku moja ndio maana chadema wanapaogopa
Hapo unamsema msigwa sasa ngoja akusikie utaitwa msaliti lazima.tuondolee cd iliyochunika na kukwaruzika.
Dar es salaam hamuwawezi hata cl Moja siyo wajinga Kama wengine! TMK walikuwa wa kwanza kupokea upinzani wakaona shida zao wakaachana nao kabisa!
Peleka ujinga wa CDM Ilala Kama hukufukuzwa!
Mrema alipotimka, akatimka na mashabiki wake. Hicho ndicho kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Kuna watu wenye mtazamo finyu wanaamini kwamba chama hiki ni imara sana kwa sasa kiasi kwamba hata wakimfukuza Zitto kitaendelea kubaki imara. Wamesahau kwamba wamejenga ufuasi kwa viongozi, na hivyo watakapomfukuza Zitto atatimka na wafuasi wake na chama kitayumba
Kweli? Naona unajiliwaza na mitandao wakati mikoani hizi takataka zinapigwa kiberiti!
Acha uongo wewe,Wangemchagua mnyika na Halima Mdee?Nahao madiwani wachadema huwaoni hapo Dar?Fikiri kabla yakuposti wewe!Hayo maandamano yenu pelekeni mkambako, msimbatin sombetini rusha watu wa dsm haawanaga time na chadema.
Wewe wtu wa dsm sio wajinga hata siku moja ndio maana chadema wanapaogopa
Dar es salaam sio washamba wa helkopta, Pelekeni Uchagani.
Dar es salaam sio washamba wa helkopta, Pelekeni Uchagani.