Cdi/voca

evaluator

Senior Member
Feb 15, 2011
181
50
Jamani vipi kuna yeyote mwenyekufahamu kama hawa jamaa wa CDI/VOCA washafanya usaili au la?maana deadline ilikua tarehe 15 ya mwezi wa 6.tafadhari naomba taarifa kwa mwenyekufahamu.
 
Kuna mzungu mmoja alikua anapiga simu. Mie alinipigia baada ya siku 3 za deadline akaniuliz maswali kama nusu saa mwishoni akaniambia atatendelea kuwasiliana na mimi. Ila hajawasiliana na mimi. Ninafununu kuwa huenda wakaanza kazi rasmi kuanzia kweyne sept/oct
 
nashukuru kwa taarifa,vipi ilikua nikitengo kipi ulichoomba?maana mm niliomba IT specialist kama unaweza kuwa nataarifa kidogo pia.
 
Nilishajua wote wameita kumbe bado nashukuru sana kwa nyie evaluator na kimla kwani naona mmekuwa hamchoki kufuatiliya kwani mimi nilishajua ndio hivyo tena naomba atakayepata taarifa asisite kuweka hapa ok.
 
Nilishajua wameita kumbe bado nashukuru sana kwa nyie evaluator na kimla kwani naona mmekuwa hamchoki kufuatiliya kwani mimi nilishajua ndio hivyo tena naomba atakayepata taarifa asisite kuweka hapa ok.
 
lulungeni,na ww uliomba zile za udom? Ulitupa taarifa nzur sana,Endelea kutujuza mwana
 
mbufu usiwe na shida bro kwani leo nilikuwa nikiongeya na malecturer na maprofessa wa hapa udom ninaowajuwa wakaniambiya ndio wako on the way watoe first shortlist na nafuatiliya kwa ukaribu sana nitawajulisha ondoeni shaka
 
Back
Top Bottom