The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,184
- 22,191
Si ajabu Waislamu Huwa wanasema Kuna mfumo Katoliki.Kanisa katoliki liacheni kikae lilivyo!!! Ukilifuatilia utaumwa na kichwa.
Sasa waislamu wameingiaje hapa??Si ajabu Waislamu Huwa wanasema Kuna mfumo Katoliki.
Vipi na cdf wa Sasa ni WA kutokea huko huko?
Si ajabu Waislamu Huwa wanasema Kuna mfumo Katoliki.
Vipi na cdf wa Sasa ni WA kutokea huko huko?
Misabato na milokole huwa inaiwaza kanisa katoliki muda woteMimi siamini Mungu na sina dini.
Lakini napenda uhuru wa watu kuamini wanavyotaka.
Huyo mtu hata angekuwa CDF wa sasa, ana uhuru wa kutimiza imani yake anavyotaka, hii ni haki ya kikatiba na ni sehemu ya "Universal Declaration of Human Rights" tangu December 10 1948.
Kwani kavunja sheria gani?
Mnaolalama mnajua kuwa hii ni haki ya kikatiba na hapo Vatican wanaenda hata marais waliopo madarakani? Kama wanavyokwenda kuhiji Maka na sehemu nyingine za kiimani kama Bagamoyo Mlingotini?
Hana uislam wowote wanaojita wanaijua Bible muda wote kusimanga imani za wenzao.