Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,530
CDF wa jeshi ni kitu kikubwa sana ila kwa kilichotokea Mo29 hata uwezo wako umefanya kuwa ni mgambo pro max.
Kwa mauaji yale na uchaguzi ambao hata kudanganya wakapitiliza kabisa na yote bado unawezaje kujisema ni CDF.
Mimi sio mtabiri ila naiona Tanzania kuwa Sudan ya baadae ambayo wewe CDF na viongozi wenu mtakuwa mpo nchi mlizowekwa kufanya haya.