Kama iko kwenye cd basi kuna uwezekano mkubwa hiyo cd imepata scratch au imeharibika na kama umeijaribu kwenye pc zaidi ya moja basi kuwa mpole katafute software/cd ingine!!Habarini za jioni wana bodi...
Niliinstall program yapata miez 6 iliyopita, ikafanya kazi poa, juzi nimepiga window pc, najaribu kuinstall ikanigomea, nimefanya hivyo kwa pc zaidi ya nne imegoma kanisa, some pc inaonesha setup ila ukijaribu kuinstall inakataa, zingine wala haifunguki kabisa.
Je kuna namna ya kufanya backup ikawa poa, na nitumie njia gani ama program, software gani?
Natanguliza shukrani
Ahsante kwa muda wako mkuu.Kama iko kwenye cd basi kuna uwezekano mkubwa hiyo cd imepata scratch au imeharibika na kama umeijaribu kwenye pc zaidi ya moja basi kuwa mpole katafute software/cd ingine!!
NB: Usipende kuziamini sana cd, kama ni software za muhimu hakikisha una back up kwenye pc au flash au cd nyingine!!!
Iingize kwenye mashine nyingine.Ahsante kwa muda wako mkuu.
Ka uzoefu wangu wa cd, dvd kama hiyo hata akisema akopi bado itagomea % fulani na haitamaliza kukopi!!Iingize kwenye mashine nyingine.
Ikisoma kopi programs weka kwenye flash.
Au ingiza hiyo cd, kama una ashampoo au nero ifungue moja wapo, nenda kwenye kucopy cd/ dvd.
Kama ashampoo/ nero ikikubali kuikopi means kwa asilimia fulani progs zako zinaonekana. Malizia kukopi, cd itajitema itakutaka uingize empty dvd/ cd.
Ukiingiza empty ikimaliza kuiburn iingize hiyo kwenye pc cheki ndani.
Hiyo ndiyo chance pekee ya kufight backKa uzoefu wangu wa cd, dvd kama hiyo hata akisema akopi bado itagome % fulani na haitamaliza kukopi!!
Ni vyema ukasema setup ya nini... Ili usaidiwe...Ahsanteni sana wakuu.
Naomba kuendelea kusaidiwa.
Je kunayo special site ambayo naweza pata setup mbalimbali ili nijaribu kudownload. Maana hii cd ilikua ya setup