CCTV Cameras feed problem

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
846
515
Nina CCTV cameras 11 ,nimeunganisha kwenye DVR ya chaneli 16.Tatizo camera sizioni zote kwenye screen,Kuna muda mwingine zinaonekana 7 Hadi 10.Je tatizo ni Nini wakuu?
 
Mtafute fundi aliyefanya installation atakurekebishia

Back
Top Bottom