CCTV camera

CCTV camera

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Wadau,
Nimeweka CCTV camera kwenye kibiashara changu lakini nakabiliwa na changamoto moja kubwa.Nahitaji kupata njia ya kitaalamu ya kuweza kufanya tathmini na kujua kinachoendela bila kukodelea screen masaa yote.Je kuna mwenye utaalamu huo?
 
It depends umeweka ya aiana gani, kuna ambazo zinakuja na DVR ikawa inarecord matukio yote wewe uka review usiku tu au kwa kupitia simu yako ya kiganjani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom