CCTV camera training

LIZZYBETTY

Member
Jul 23, 2015
48
8
Gs power installation ltd tumeanza kuandikisha majina ya watu wa kijifunza kufanya installation ya camera itakayofanyika kuanzia trh 13.3 2017 mpaka 18.3.2017 mwisho wa mafunzo wanafunzi watatunukiwa vyeti.

Wahi nafasi ni chache sana fika ofisi kwetu mtaa wa livingstone kariakoo au piga

NO
0677007590
0715041524
0677007005
Email:info@gspower.co.tz
website.www.gspower.co.tz
Ada ya mafunzo ni 180,000
 
Sasa walioko nje ya mkoa!!? Anyway malipo sh ngap had umalize??.... Nimenunua ka flat screen kangu kuweka CTV camera mbili sh ngap kama
 
Sasa walioko nje ya mkoa!!? Anyway malipo sh ngap had umalize??.... Nimenunua ka flat screen kangu kuweka CTV camera mbili sh ngap kama
Samahan mkuu kwanin hujasoma vizur tangazo?, mbona bei kaandika au ndo umesoma heading tu ukacommebt?
Samahan lakin
 
Kuna qualifications zozote zinahitajika ili mtu apate ujuzi na certificate husika
 
Almost ni siku tano hapo naona. Kuanzia tar 13 mpaka 18, je nikitaka kulipa kwa installment inakuwaje? Mbona kama mmetu limit kiaina?
Hali sio nzuri mtaani na kweli tunataka ujuzi huo (elimu)
 
Almost ni siku tano hapo naona. Kuanzia tar 13 mpaka 18, je nikitaka kulipa kwa installment inakuwaje? Mbona kama mmetu limit kiaina?
Hali sio nzuri mtaani na kweli tunataka ujuzi huo (elimu)
Kama upo tayari kujifunza boss tuchk kwa hzo no tutakupa maelekezo mazuri kabsa karbu
 
GS POWER INSTALLATION LTD TUMEANZA KUANDIKISHA MAJINA YA WATU WA KIJIFUNZA KUFANYA INSTALLATION YA CAMERA ITAKAYOFANYIKA KUANZIA TRH 13.3 2017 MPAKA 18.3.2017 MWISHO WA MAFUNZO WANAFUNZI WATATUNUKIWA VYETI.WAHI NAFASI NI CHACHE SANA FiKA OFISI KWETU MTAA WA LIVINGSTONE KARIAKOO AU PIGA NO
0677007590
0715041524
0677007005
Email:info@gspower.co.tz
website.www.gspower.co.tz
Ada ya mafunzo ni 180,000
hii sasa kali kufanya INSTALLATION YA CAMERA nayo imekua somo tena siku tano yaani kitendo cha kuweka cd ukiwa umeunganisha camera zako na kuanza istallation tayari mpunga mfukoni kaka vipi kuhusu repair ikiwa imealibika,vipi kuhusu software mteja akiwa ataki hiyo unayofundishia namaanisha system za kisasa kama pView7 DALLMEIER,hik Vision,IctI nanyengine nyingi pia kuna swala la backup bila kusahau uendeshaji wa videos ndani ya system nitofauti kwa kila moja nakuna elimu juu ya uchukuaji tukio na nadharia kwa camera moja kwenda nyingina inamana haya yote ndani ya siku tano duuuuuuuu pia unatoa cheti hapa sasa kali sijui chini ya VETA au NACTE au Ume link na chuo cha UK HAHAHAHA
 
hii ni trainging endelevu kama haujaelewa kitu naomba upige hzo no hapo juu tafadhari usiwakatishe watu tamaa ambao wapo tayari kujifunza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom