LIZZYBETTY
Member
- Jul 23, 2015
- 48
- 8
Je wewe ni kijana na hauna ajira na una ndoto za kujiajiri GS POWER INSTALLATION LTD ikishirikiana na KENVISION kutoka Nairobi pamoja na wadau mbalimbali wa CCTV wanakuletea mafunzo ya CCTV CAMERA itakayofanyika tarh 13.3-18.3.2017 mwisho wa mafunzo washiriki watatunukiwa vyeti.
Vilevile GS POWER inatarajia kufungua chuo cha CCTV CAMERA, ELECTRIC FENCE, ALARM SYSTEM hii ni baada ya kufanyika training tajwa hapo juu kozi ni ya miezi mitatu na ada ya masomo ni laki tatu kwa miezi mitatu(300000) fomu zimeshaanza kutolewa.Fomu zinapatikana katika ofisi za GS POWER zilizopo kariakoo mtaa wa Livingstone mkabala na benk ta NMB Kariakoo
kwa mawasiliano zaidi tupigiie kwa no zifuatazo
067 7007 005
0715 041524
Email:info@gspower.co.tz
www.gspower.co.tz