nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
hizo ni taasisi za watu kwa mgongo wa dini. katika watu ambao watakuwa na kesi kubwa ya kujibu ni viongozi wa dini....
weka cv yako ndio tubishane
Dini zimelaaniwa niwakumbushe. Mauaji ya Rwanda yalitokea katika kanisani. Katoliki lilishiriki pamoja na kuwa 80%ya raia ni wa Katoliki. Actually some of the killings took place inside the church were people took refuge
CV yangu ni sawa na ya Dj ambaye ni mwenyekiti wenu. Ukiisoma yake umeisoma yangu.
Ndio maana nilitaka cv yako. Ona ulichokiandika. You are illiterate or semi - illiterate. Bye, na kuacha na size yako.
.Rafiki yangu, kwanini tunakuwa na namna hii ya hatari ya kuhitimisha jambo? Kwahiyo unaona ni sahihi kuanza kuwaona kuwa wanatenda jinai wale wanaoamini kuwa katiba inavunjwa kwa kuzuiwa kwa shughuli za kisiasa hadi mwaka 2020? Maana ndio issue ya msingi hapa. Maandamano na hiyo mikutano ni mambo ambayo yameruhusiwa kikatiba kwanini tuanze kuwaona wanaotekeleza ruhusa hiyo ya katiba kama watu wa ajabu hivi. Kwanini tusianzishe mchakato sasa wa kufutilia mbali ruhusa hiyo ya kikatiba ili kuondoa "ukakasi" huo ili watakapojaribu kuandamana tuwafutie usajili wa vyama vyao!
Tuandikie hiyo ibara inasemaje, na tuonyeshe hiyo adhabu kwenye penal code!.
Amri ya JPM ni halali kwa mujibu wa ibara ya 30(1)-(3) ya Katiba ya Tanzania(1977).
Hivyo, wataokiuka wanastahili kuadhibiwa.