CCT, TEC na BAKWATA mtahukumiwa

CCT, TEC na BAKWATA mtahukumiwa

...Kama Chadema na upinzani kwa ujumla mtazamo wao ni kuwa kuna uvunjwaji wa katiba katika eneo hilo na kuna kundi la watu wanakubaliana na mtazamo huo, basi wanayo haki kushirikiana na viongozi wa dini wenye mtazamo sawa na wao katika eneo hilo, ili kuzuia huo "uvunjaji wa katiba" kwa maana hao viongozi wa dini watakuwa wanatekeleza sehemu ya wajibu wao!Na mgongano huu wa kimtazamo sio dhambi!
.
Vyama vya siasa, vyama vya kidini, vyama vya kiuchuni, na makundi mengine katika civil society yanasajiliwa kwa mujibu wa sheria tofauti. Na hivyo, yanakuwa regulated kisheria. Sheria husika zina vifungu kwa ajili ya kutunza nidhamu ya vyama hivi. Kifungu kimojawapo ni kufuta chama. Kwa hiyo, hata kama "mgongano huu wa kimtazamo sio dhambi!" sio dhambi, lakini bado ni jinai. Jitahidi kutafakari vema kuhusu legal parameters husika.
 
Unajua dini nyingi zinaanzia rohoni
zinaishia mwilini. Ndio maana makanisa hayaachi kufunguliwa kila kukicha ni kazi ya Mungu kuweza kutafuta wateule angalau wachache wakwenda kuishi naye. Kumbuka Bwana Yesu alisurubishwa na viongozi wakubwa wa dini enzi hizo kwa kumshinikiza pirato ambaye naye alikuwa na maslahi nao yaani pilato na viongozi wa dini aka mafalisayo aka masadukayo aka wanafiki aka wachujao mbu na kumeza ngamia aka wasalio sara ndeefu na kukaa viti vya mbele katika masinagogi aka walao kwa wajane walikuwa kitu kimoja. Hii hata sasa ipo na inasababishwa na watumishi wapenda fedha za aibu za wanasiasa. Tumpate wapi Yohana mbatizaji katika taifa letu anakaye mwambia Herode pale anapokosea hata ikiwa ni kuhatarisha maisha yake ila makavu ampe waziwazi kweupe. Yamkini Gwajima aisee.
Mkuu nimekupa like lakini hapo chini kwa
Gwajima nae ni walewale.... Tz ni nchi ya ajabu sana.... yaani hata wazee wanaogopa kutoa maoni yao...wako wapi kina Desmond Tutu wa Tz.... malechela, makamba, mwinyi, warioba,
butiku.... wote kimya. .. waseme nini kama
wanaweza pigwa vibao na vijana na ikaonekana sawa? Sasa hawa TEC na KKKT vipi tena? Nanyi mnaogopa nini? Mnaogopa kudhalilishwa kweli au ?
 
  • Thanks
Reactions: J C
.
Vyama vya siasa, vyama vya kidini, vyama vya kiuchuni, na makundi mengine katika civil society yanasajiliwa kwa mujibu wa sheria tofauti. Na hivyo, yanakuwa regulated kisheria. Sheria husika zina vifungu kwa ajili ya kutunza nidhamu ya vyama hivi. Kifungu kimojawapo ni kufuta chama. Kwa hiyo, hata kama "mgongano huu wa kimtazamo sio dhambi!" sio dhambi, lakini bado ni jinai. Jitahidi kutafakari vema kuhusu legal parameters husika.
Mkuu unadhani serikali inaweza futa TEC au hivi vyama vya utume vilivo strong? Hawawez
 
Hawawezi kujihusisha na upuuzi wa watu wachache. Hili swala liko wazi na haitaji mtu yeyote kutufahamisha, umesha ambiwa kuandamana ni kuvunja sheria na ukikamatwa unaenda ndani, ukibisha unakula kichapo.Hapa sio somalia ambapo kila mtu anajifanyia anavyo taka, kama ni kutetea haki za wananchi basi waende bungeni sio kuleta usumbufu mtaani. Na tunajua vijana wa chadema wanataka kuutumua mwanya huu kufanya uhalifu wa mali za watu.
 
sasa wewe mzembe wa CCM una kipi unachojua zaidi ya tumbo lako
 
.
Umeandika vizuri. Taasisi za kidini kama sehemu ya civil society wanayo nafasi katika "checks and balances" za dola. Tatizo langu bado hujaligusa. Ni halali kwa viongozi wa makanisa kutumia mbinu za kina Niemoller na Bonhoeffer zdhidi ya serikali, kama ambavyo tamko la Chadema kuhusu UKUTA linapendekeza? Ongelea mode of operation plz.

TAMKO kuwa hili si halali, watamke mode of operation ni kuwa haki itendeke na IONEKANE inatendeka
 
Chadema mlizoea kudekezwa,yaani mbembelezwe!Kama Mbowe ni muumini wa kweli basi anajua wajibu wake,hakuna haja ya kutisha taasisi za kidini kwa matatizo ya kujitakia
These are my views not Mbowe's
 
Nawaomba hao niliowataja hapo kwenye heading, wawajibike kuepusha lolote linaloweza tokea tarehe 1 Sept. Wamekaa kimya kama vile sio sehemu ya waumini wao. Ukimya huu mtahukumiwa.

Mchungaji Kasupa amejitahidi kutoa ushauri. Nguvu zenu zikiungana mnaweza kutenda jambo jema! Lakini mnamuogpa Bwana Mkubwa kumwambia ukweli. Basi mshaurini Mbowe (CHADEMA) tusikie neno lenu kama Mkubwa mnamuogopa.
Mtake kuandamana wenyewe halafu mtake viongozi wa dini kuingilia mwaka huu mnalo nyumbu nyie
 
Kama watu wanawaheshimu viongozi wa dini kwanini walipoanzisha hii movement wasiwashirikishe kwanza? Mmelianzisha wenyewe na hamkuwashirikisha hakafu leo mnawataka waje wawapigie magoti, kama mnajua umuhimu wao mlitakiwa kwenda kuwaambia dhamira yenu kabla hamjatoa tamko la mnachokiita Udikteta wa Rais, mlikimbilia conclusion kabla ya discussion halafu mnataka watu watoe comments zao wakati mshachora mstari tayari.
Muwe na adabu kwa viongozi wa dini kabla hamjaamua yenu, mkiwaambiwa msitishe mtawatukana na kuwaita wasaliti, dawa ya mkaidi ni kumuacha apate anachokitaka.
Kama mngekuwa na busara mngefanya juhudi za kumuomba Rais mzungumze naye kumuelezea maoni yenu juu ya Tanzania mnayoitaka ila nyinyi mlianza kwa dharau mara dikteta uchwara sasa mnataka watu waseme nini? Andamaneni kama milivyopanga, hamkuwashirikisha watu kuandaa UKUTA na msiwashirikishe watu kuusemea UKUTA.
 
Dini zimelaaniwa niwakumbushe. Mauaji ya Rwanda yalitokea katika kanisani. Katoliki lilishiriki pamoja na kuwa 80%ya raia ni wa Katoliki. Actually some of the killings took place inside the church were people took refuge
 
Waacheni tu viongozi wa dini wakae pembeni watu waendelee na mipango yao, wao wakija hapa watashauri watu wasiandamane kabisa, sasa hapa wataambulia kejeli
 
.
Vyama vya siasa, vyama vya kidini, vyama vya kiuchuni, na makundi mengine katika civil society yanasajiliwa kwa mujibu wa sheria tofauti. Na hivyo, yanakuwa regulated kisheria. Sheria husika zina vifungu kwa ajili ya kutunza nidhamu ya vyama hivi. Kifungu kimojawapo ni kufuta chama. Kwa hiyo, hata kama "mgongano huu wa kimtazamo sio dhambi!" sio dhambi, lakini bado ni jinai. Jitahidi kutafakari vema kuhusu legal parameters husika.
Rafiki yangu, kwanini tunakuwa na namna hii ya hatari ya kuhitimisha jambo? Kwahiyo unaona ni sahihi kuanza kuwaona kuwa wanatenda jinai wale wanaoamini kuwa katiba inavunjwa kwa kuzuiwa kwa shughuli za kisiasa hadi mwaka 2020? Maana ndio issue ya msingi hapa. Maandamano na hiyo mikutano ni mambo ambayo yameruhusiwa kikatiba kwanini tuanze kuwaona wanaotekeleza ruhusa hiyo ya katiba kama watu wa ajabu hivi. Kwanini tusianzishe mchakato sasa wa kufutilia mbali ruhusa hiyo ya kikatiba ili kuondoa "ukakasi" huo ili watakapojaribu kuandamana tuwafutie usajili wa vyama vyao!
 
Nawaomba hao niliowataja hapo kwenye heading, wawajibike kuepusha lolote linaloweza tokea tarehe 1 Sept. Wamekaa kimya kama vile sio sehemu ya waumini wao. Ukimya huu mtahukumiwa.

Mchungaji Kasupa amejitahidi kutoa ushauri. Nguvu zenu zikiungana mnaweza kutenda jambo jema! Lakini mnamuogpa Bwana Mkubwa kumwambia ukweli. Basi mshaurini Mbowe (CHADEMA) tusikie neno lenu kama Mkubwa mnamuogopa.

Nyie si Makamanda bana. Mbona mnaanza kuogopa
 
Mkuu nimekupa like lakini hapo chini kwa
Gwajima nae ni walewale.... Tz ni nchi ya ajabu sana.... yaani hata wazee wanaogopa kutoa maoni yao...wako wapi kina Desmond Tutu wa Tz.... malechela, makamba, mwinyi, warioba,
butiku.... wote kimya. .. waseme nini kama
wanaweza pigwa vibao na vijana na ikaonekana sawa? Sasa hawa TEC na KKKT vipi tena? Nanyi mnaogopa nini? Mnaogopa kudhalilishwa kweli au ?
Mkuu nilikuwa najaribu kuwaza tu.
 
Back
Top Bottom