lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 789
- 382
Habari zenu wana jf,naomba kujuzwa chuo kizuri ambacho kinatoa course ya CCNA na gharama zake..Natanguliza shukrani kwa watakaonipa majibu
Check na UCC pale posta mpya au headquaters pale mlimani.
Nenda pale KITM mwenge Karibu na hospitali ya mama Ngoma... gharama ni USD 350!!! Jamaa anafundisha vizuri siutan na anavifaa.. UCC watu wengi sana ndio tatizo..