GarageRules
Member
- Aug 8, 2008
- 26
- 0
Wakubwa,lile faili la wireless toka learnkey ni kubwa mno,nililiupload nikakuta server unreachable,ni kama 4GB,so ninafikiria njia ya kuwafikia wahusika,hivyo nitaireplace na Tutorial za CCNA toka Learnkey,hizi ndio tutorial zilizonifanya niipende Networking kwani jamaa anaweza kufundisha na huna haja ya kwenda Center yoyote ili kufaulu CCNA,Ninakuhakikishia hili,CCNA haihitaji practical zozote kubwa sana wakuu so baada ya kudownload hizi tutorial then ukakaa chini utakuja kuniambia.
Kwa waliojaribu kudownload CCNP je mulifanikiwa?
Nilianza na CCNP kwakuwa nimeona CCNA kwa wabongo wengi ni common,so nikaamua kuwaamsha kidogo kwa CCNP,ni mambo ya CC,haha.
NIkiupload nitawastua wakuu
Mkuu sijaweza fanikiwa ku-download server time-out Error, ntajaribu nikirudi nyumbani kuona kama ntaweza kudownload.
Kuhusu IOS, Kuna wakati nilijaribu kuzitafuta kupitia cisco, lakini ngumu kuzipata hivi hivi tuu, labda kama wamebadiri masharti...
Kama kuna mtu mwenye shida ya hizo IOS anijurishe nina 2DVD worth IOS za router mbali mbali kutoka 1700 Series to 7200 Series.
Pia, ili kuongeza value ya elimu yako hakikisha unafahamu Operating systeam zinavyofanya kazi hii itakusaidia sana katika mihangaiko yako ya kila siku..
Kuhusu Computer Forensic, hapa shule kuisomea lazima back ground check yako iangaliwe na wazee wa kazi, hivyo ukiwa na masoooo hivi utaisikia kwa mbali sana, na wanafunzi wengi nawaona pale ni police.