CCNA/CCNP/CCIE Tutorial | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCNA/CCNP/CCIE Tutorial

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kilongwe, Dec 15, 2008.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakubwa kama nilivyoahidi kuwa sitokuwamchoyo wa material kwani mimi nina imani watu tunashindani kwa nini unajua bali si nini unacho,si unakumbuka maprof wa kibongo wana usemi tukimpa kila mtu uprof si tutajazana.
  Baada ya porojo,nina tutorial mwanana mno,naweza sema among the best za kuanzia CCNA hadi CCNP,ukiwa na hizi pamoja na muda basi wewe unachozubiri ni kuwa geek tu,nadhani watu wa SQL mutalikubali hili.
  Kama kawaida ya rule of the game,tuma maombi yako kwa robot08@qq.com,ila kwa kila file ninalotuma litakaa hewani kwa wiki,baada ya hapo tutasameheana kwani ninatumia server ninayohostia website yangu,
  Penye nia Pana Njia
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2008
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,963
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Kilongwe , nakubaliana na wewe kama una educational material .Lakini kwa paste ya Jeanne The Psychic, thats over the top.
  Sawa na kwenda Mlingotini kuagua!
   
 3. k

  kilongola New Member

  #3
  Dec 16, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mkuu, mi nahitaji hayo material
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Good idea bro,unaonaje kama ukiweka hapa JF tukanyonya from here si unajua mambo ya Identity mkuu.
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Please nitumie kupitia email ile ile.
   
  Last edited: Dec 19, 2008
 6. G

  GarageRules Member

  #6
  Dec 16, 2008
  Joined: Aug 8, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 7. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  MKuu haiwezekani kuiweka hapa kwani ka mfano faili moja huwa ni kama 1GB sasa si utafanya link yenyewe yote iwe down mkuu,na vlevle kwenye forum huwezi kuwapa watu riksa ya kuweka vitu vikubwa mno,kwa mfano mimi kwenye forum zote ambazo huwa ninazidesign au kuzimanage huwa naweka max ni 1.5MB,utanipata hapo.
  Kuhusu identity,kwakuwa wanaohitaji ni watu wa IT,basi unaweza tumia proxy ili ufiche IP yako kimtindo,by the way sisi watu wa IT huwaga hatupigi sana ngenga,
  Ushauri,unaweza ukawa na ID mbili,moja ni ya kazi na moja ni ya kupigia ngenga ambayo hutotaka mtu aijue,ushauri tu wakuu.
  La msingi mabalo bado ninalifanyia kazi ni kuwa na website ya KISWAHILI ambayo itakuwa ni source ya info,huku china website za material zote ni kichina 100%,hukuti ngeli,na zinakuwa zimelindwa kinoma tena serikali inajua,
  Watu wa IT jamani tufikirie njia ya kulitatua hili kama halipo kwani inawezekanakuna website kama hiyo ila mimi sifahamu,nakumbuka kuna mwalimu wangu aliwahi kuniambia 你要做黑客应该算了你的生活。
  wale wote walionitumia e mails zao,CCNP full sylabus(BSCI,BCMSN,ONT&QoS na ISCW ),2008 edition toka Nuggets itakuwa hewani baada ya kama saa moja,baada ya wiki moja nitalifuta hilo file,then kesho nitawamwagia mambo ya CCIE toka IP Expert.
  Penye nia pana njia.
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kilongwe,
  Unaonaje uki-burn hizo studying material kwenye CD au DVD ukawatumia wanafunzi kadhaa walioko kwenye vyuo? It will be cheaper to pay someone 5000 so that she can make you a copy, than to download it from the net.
  Ukiwatumia copy baadhi ya member humu nao wapeane copy, sidhani kutakuwa na utata.

  What do you think?

  :)
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Pa1 mkuu haya mambo mageni u know what i mean.......Nilikuwa na ID mbili nikawa nasahau password nikaona isiwe taabu natumia moja tu.

  Nirushie kwenye ID hiyo hapo juu mkuu nitashukuru sana.
   
  Last edited: Dec 19, 2008
 10. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kutuma inawezekanika ila utata unakuja kwenye Bank yetu ya posta,kwa kutumia DHl kidogo gharama inakuwa kubwa kwa huku ambapo itanilazimu nitumie kitu si chini ya dola mia kadhaa kwa kilo kadhaa,na ikumbukwe ni watu wengi mno wanahitaji.huo ndio utata.By the way nataka kusema sorry for my empty promise kwani nilipromise jana CCNP itakuwa hewani lakini sikufanya hivyo,hii ni kutokana nilishikwa na mimbonji kiaina.Sasa ndio naupload,baada ya dakika 24 watu wote watafaidi.
   
 11. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Haya wakuu,nondoz zimo kwenye mails zenu.Nimetuma link kwa watu 11 kama nilivyopokea e mails zao.pia nimewawekea Simulator ambayo ni babkubwa mujifaidi.Hakiyamungu mambo matamu haya.Thanks Admin kwa kutuwekea JF.
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nimekupata kachaa nakishusha kitu tratiibu.....uzuri gns3 allready nilikuwanayo.......ubarikiwe ungekuwa karibu ningekupiga ofa ya mbege.
   
 13. M

  Mama JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Kilongwe shukrani sana.

  Je waweza kutumia BCC (blind copy) wakati unatuma hizo nondo? Si unajua tena mambo ya privacy.......kwa wanaotumia real addresses.

  Thanks again.
   
 14. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkubwa nilipenda hilo lakini si unajua hii service haina hiyo function,sasa sijui niwasaidiaje watu kama ninyi.Ok.kwa wale ambao wanahitaji privacy naomba waniandikie hilo kipindi unanitumia e mail yako, ila please fanya hivyo pale ambapo ni kweli ina ulazimu mno.Kumbuka mimi bado ni mwanafunzi na nina mambo mengi na nafanya hivi kwa ajili ya kusaidiana so lazima tuwe fair kwa pande zote.Panapohitajika nitakutumia peke yako la kama haina ulazimu basi nizitume kwa pamoja.Kwa sasa kuna kitu kuhusu Wireless ndio kinaupload,sooon mutafaidi madude.
   
 15. K

  Komavu Senior Member

  #15
  Dec 17, 2008
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu Kilongwe Heshima mbele, then naomba nitumie hizo nondos kwenye mmfukoguru@yahoo.com, Please ntashukuru sana.
   
 16. K

  Komavu Senior Member

  #16
  Dec 17, 2008
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35

  Nazisubiri mkuu , Thanks.
   
 17. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  :)
  I get the message. I will answer your question though!
   
 18. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakubwa,lile faili la wireless toka learnkey ni kubwa mno,nililiupload nikakuta server unreachable,ni kama 4GB,so ninafikiria njia ya kuwafikia wahusika,hivyo nitaireplace na Tutorial za CCNA toka Learnkey,hizi ndio tutorial zilizonifanya niipende Networking kwani jamaa anaweza kufundisha na huna haja ya kwenda Center yoyote ili kufaulu CCNA,Ninakuhakikishia hili,CCNA haihitaji practical zozote kubwa sana wakuu so baada ya kudownload hizi tutorial then ukakaa chini utakuja kuniambia.
  Kwa waliojaribu kudownload CCNP je mulifanikiwa?

  Nilianza na CCNP kwakuwa nimeona CCNA kwa wabongo wengi ni common,so nikaamua kuwaamsha kidogo kwa CCNP,ni mambo ya CC,haha.
  NIkiupload nitawastua wakuu
   
 19. K

  Kasungura Member

  #19
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 12, 2007
  Messages: 72
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0  Aksante sana mkuu, kwa moyo wa kutaka kuwaendeleza watu wa jamii yako tz. naomba unirushie hayo material yote. hata mie nikifanikiwa kuyapata naweza kuyaweka kwenye dvd ili waliopo bongo wazipate kwa urahisi
  nitumie kwenye " panganitanga@gmail.com.
  big up sana bro!!!
   
 20. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Yes, that is a challenge  Now, that is the spirit!
   
Loading...