CCM's ufisadi at its best | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM's ufisadi at its best

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, May 20, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,606
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  CCM-VIJANA project raises more questions

  Ex-PM Lowassa to chair crucial meeting on 12bn/- joint venture deal

  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam

  NEW questions are arising regarding the soundness of a multi-billion shilling, joint venture project in Dar es Salaam between the ruling Chama Cha Mapinduzi's youth wing (VIJANA) and a group of local private businessmen.

  THISDAY has learnt that the controversial, 12bn/- real estate deal between the CCM youth wing and two companies owned by the Patel family business franchise - Estim Construction Limited and MMI Steel Mills - is now expected to come up for official review at a high-level VIJANA meeting.

  The two companies are owned by prominent business tycoons Subhash and Ramanlal Patel.

  Former Prime Minister Edward Lowassa, who is the chairman of the VIJANA board of trustees, is scheduled to chair the crucial meeting sometime soon, in which it is understood that the project will be a leading item on the agenda.

  The proposed project involves the construction of a high-rise building next to the current VIJANA headquarters building along Morogoro Road in the city.

  Insiders say that under the terms of the joint venture agreement, the private investors were given 75 per cent ownership of the project, while the CCM youth wing remained with a mere 25 per cent stake, even though it is the owner of the actual property earmarked for development.

  As a VIJANA trustee, Lowassa is understood to have signed the initial agreement with the private investors along with former VIJANA secretary general Amos Makalla, who is now national treasurer of the main CCM party.

  Under the terms of the contract, the VIJANA headquarters building is to be renovated and incorporated in the adjacent real estate development project, according to informed sources.

  However, the sources say that local lawyers who have since been consulted on the matter, are now understood to be raising serious doubts with regard to the deal, and have even advised that the contract be fully reviewed.

  According to the sources, one clause in the contract gives the private investors limitless rights to the property, with the inclusion of the word ''forever'' which is said to be contrary to the Land Act of 1999.

  ''No one can have the right to occupy land forever in Tanzania. This country's laws clearly specify a period of between 33 to 99 years of land occupancy no more,'' said a source.

  Another controversial clause in the contract allegedly gives the private investors the right to use the title deed for the VIJANA-owned property as a mortgage for bank loans.

  ''How can private investors be given 75 per cent ownership of the project and yet use the title deed owned by VIJANA to get a substantial bank loan to develop the property?'' another source queried.

  Sources say the private investors claim they have so far already injected $5m (approx. 6bn/-) into the project, equivalent to almost 50 per cent of the total construction costs.

  The meeting of the VIJANA board of trustees was earlier scheduled to be held last week, but was postponed to another date that is yet to be announced.

  When contacted by THISDAY, the VIJANA national chairman, Emmanuel Nchimbi, declined to comment about the controversial project, and referred our queries to the youth wing's secretary general, who was unavailable yesterday.

  According to the project plans, a modern commercial building valued at around 12bn/- is to be built on the undeveloped plot number 1081/2, situated immediately behind the VIJANA headquarters building which is located on plot number 1081/1 in the same area.
   
 2. m

  mapambano JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu hawalali..
   
 3. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2008
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Sasa imekuwa wimbo wa Taifa maana kila kukicha kuna ufisadi mpya unajitokeza....kuna wakati mtu hutaki kusoma hata gazeti lakinii pita vijiweni siku hizi hakuna Simba ua Yanga kama ilivyokuwa enzi hizo bali neno limekuwa UFISADI.

  Serikali hii mbovu imeshindwa kulishughulikia...je wewe na mimi tunafanya nini kuiwajibisha serikali yetu? Thailand waliweza je sisi hatuwezi?au tukae tungojee na kuendelea kuishi na huu ufisadi?....maanake mie naona JK anataka tuzoee ufisadi iwe kama ndio part of our life.........
   
 4. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hapa kila kitu kinajieleza maana ukisoma mstali hadi mstali tayari utagundua kwa nini tayari 6bilioni zimeisha tumika.

  Wewe unachukua kondoo wako unampa FISI, unategemea nini?
   
 5. t

  think BIG JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 236
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Injini ya CCM inapochemsha mapema!!
   
 6. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tanzania itaendelea kuwa masikini wa kutupwa muda wote ccm itakapokuwa madarakani.

  Watanzania inabidi waichukie ccm kama vile walivyochukia wakoloni na wakaomba uhuru. CCM inafanya taifa linakuwa masikini na bila kuitoa ccm nchi itaendelea kuuzwa kwa wageni na kuwa masikini kabla ya kutumbukia kwenye vita ya karne nzima.
   
 7. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2008
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Je tuendelee kukaa kimya na kuangalia? Tutawaambia nini wajukuu wetu? Tumefanya nini kwatengenezea mazingara yaliyo bora


  Je tuendelee kumpigia mbuzi gitaa mpaka lini? Haya tunayozungumza na kuayakemea hapa JF hayafikii kijijini ambako ndio majority wanaishi ambao second name yao ni CCM
   
 8. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
   
 9. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  sababu za kwa nini watu wanaiichagua ccm ni hizi
  1 wasomi wamelisaliti taifa, wale wachache waliopata elimu na wanaelewa udhaifu wa ccm, ikiwemo sisi tuliko hapa Jf, tulipata nafasi badala ya kujiunga na upinzani ili kuikosoa na kuinyima usingizi ccm tunakimbilia huko huko ccm kwa kuwa kule ndo kuna shibe, wengi niao wafahamu hawaitaki ccm na wanataka kuwa wapinzania wa kweli, lakini ukifika wakati wa uchaguzi wanatoana macho kupigania kupita kura za maoni za ccm. wengi wetu tumelisaliti taifa kwa woga wetu, kwa njaa zetu, kwakujikomba kwetu, kwa kutaka kwetu makuu, kwa kuyaogoap mafisadi

  2.wataalamu nao wamelisaliti taifa, wale walioko kwenye ajira za umma, na wenye sauti za kusikika kama wahandisi na wachumi, wamekuwa mstari wa mbele kujikomba kwa m afisadi, ndo hao hao wanaomdanganya kikwete kuwa mzeed wananchi wanakupenda, chadema wasikunyime usingizi mzee, wameshindwa kuukosoa mfumo ulipo licha ya kwamba sauti zao zinasikika, ndiyo waliokuwa wanakaririshwa majibu ya richmond na aikina mwakapuji na walipoitwa na kamati ya mwakyembe wakawa wanaimba sifa za richmond kama kasuku-AIBU

  3. wananchi wetu wamelisaliti taifa, kwa njaa zao wamekuwa waoga, hakuna hata mmoja wetu ambaye yuko tayari kumwaga damu yake kwa ajili ya taifa hili, TAIFA HALIWEZI KUJIKOMBOA BILA MASHAHIDI YAANI MASHUJAA WA KUJITOA MHANGA KA AJILI YAKE.WAPEMBA WALIPOSEMA KUWA WAKO TAYARI KUJILIPUA ILI WAPEWE UTAIFA WAO HATA HAPA JF KUNA WALIOWASHANGAA

  TUFANYE NINI?
  1ni lazima tulipende taifa letu na tuwe tayari kusulubiwa kwa ajili yake, tuwe tayari kuozea magerezania kama akina mandela katika mapambano yetu dhidi ya ufisadi wa ccm
  ni lazima wasome wetu wawe tayari kulitumikia taifa letu kwa ari ya kweli na bila woga, kama mwanasiasa anataka pesa za barabara akapige kampeni, mhandisi wa hiyo barabara awe tayari kufunga virago na kuukataa ufedhuli huu. kinachofanyika hapa kwetu ni mhandisi na mwanasiasa wote kukomba pesa za mradi halafu wote wanahamia ccm kama makamanda wa mkoa=AIbu

  wote tuli na upeo mpana wa vision ya taifa hili tuwe tayari kujitolea kwa hali na mali kuwasaidia wale walioko katika uwanja wa vita kulinusuru taifa letu, ni watu wangapi wamewachanigai akina zitto, slaa kwenye vita dhidi ya mafedhuli hawa? wale waliofanyikiwa kibiashara kwa biashara halali nao wawe tayri kuwachangia akina zitoo kama mafedhuli wanavyoichangia ccm

  NCHI NI YETU SOTE, TUNAWAJIBU WA KUIPIGANIA POPOTE TULIPO NA KWA CHCOCHOTE TULICHO NACHO
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Jamani Mimi Sijaelewa Hii Ndoa Ya Ccm Na Hawa Ndugu Zetu Wanaitwa Watanzania Wa Asia Zinatokaga Wapi Wajameni???? Mwisho Wa Siku Hata Wizi Unachipukiaga Hapo Hapo!!!! Nawahakikishia Wana Jf Hawa Tunawaita Watanzania Wa Asia, Hawawezi Kufanya Deal Na Wewe Kama Hawana Target Ya Kitu Fulani Potential Mbele Yao. Subiri Uje Usikie Huko Mbele Ya Safari Hapo Tutabaki Kulalama Na Hao Wandugu Watakuwa Wameshakimbia Kwao Tanzania Asia!!!!!!!!
   
 11. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Ikiwa serekali imeshindwa kutengua mikataba mibovu iliyosainiwa na wajanja wachache, kikao cha UVCCM kupitia huo mkataba kitakua ni upotevu wa muda tu.
   
 12. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  CCM kirefu chake ni Chetu Cha Mababu...
  Kama ujuavyo babu never to be serious...
  Watatutawala mpaka tukome na tukishakoma ndipo tutajua la kufanya maana kwa sasa bado uoga wa uhuru unashtaki nadhiri zetu
   
 14. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2008
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kwani hujui viongozi wetu wana kale ka inferiority complex? na hawataki wakufaidishe we mzawa halafu baadaye umchukulie dogododgo yake?

  SOLIDARITY....hata wakiibiana kesi zao zaishia jamatini umewahi kusikia mhindi akimshtaki mhindi mwenzake mahakamani?
   
 15. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2008
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Niabukubwa sana kuona Vijana wanataka kutupeleka njia ile ile waliyotuneleka baba zao. Njia ambayo imesababisha Tanzania kuwa kwenye umasikini mnene zaidi ya miaka 40 iliyopita. Nakaa chini na kujiuliza maswala mengi sana na nashindwa kuyajibu.

  Hawa so called wafanya biashara wapo pale kwa maslai yao na wazazi wao, wanamiliki passport mbili mbili. Jeetu Patel amevyonza kila resource ya Tanzania, lakini bado baadhi ya Watanzania wanataka kuendelea kushikana nao, jee uzalendo upo wapi jamani.
   
Loading...