CCM Zanzibar yatoa indhari kwa SMZ na SMT

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,276
Chama cha mapinduzi (CCM) Zanzibar kinatoa indhari kwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusiana na propaganda chafu, za uongo na upotoshaji zinazoendelea kusambazwa na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad ndani na nje ya nchi, dhidi ya Serikali mbili zilizoko madarakani chini ya chama cha mapinduzi na viongozi wake.

Taarifa ya CCM Zanzibar kwa vyombo vya habari iliyotelewa ofisi kuu ya CCM Zanzibar, inasema tokea kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa marejeo imekuwa ikishuhudia matukio mbalimbali ya hujuma ambazo chanzo chake ni kauli za uchochezi, uongo na upotoshaji zilizotolewa hadharani na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad katika ziara zake kwenye maeneo tofauti unguja, pemba na nje ya Zanzibar.

Wana CCM na viongozi na wananchi wa Zanzibar wameshuhudia kuchomwa kwa mshamba ya karafuu, kuharibiwa mazao ya wakulima, na watu hasa wanachama na wafuasi wa ccm, kuchomewa nyumba zao, wananchi kushawishiwa kutoitambua Serikali,halali iliyoko madarakani pamoja na matukio kadhaa yenye kuashiria uvunjifu wa amani.

Jumatano ya tarehe 15 juni 2016 katibu mkuu huyo wa CUF kupitia Televisheni ya "Voice of America" (VOA) alishtumu Serikali za Tanzania na viongozi wake kwa madai tofauti ya uongo ikiwemo kile alichodai kukosa uwajibikaji na ukiukwaji wa makusudi wa misingi ya utawala wa sheria.

Chama cha mapinduzi Zanzibar kinatoa wito kwa serikali zote mbili na vyombo vya ulinzi na usalama kuacha kufumbia macho vitendo vinavyofanywa na kiongozi huyo wa upinzani kwani athari za badae zinaweza kuwa kubwa kiuchumi, kisiasa, kijamii kwa jumla.

Kwa maoni ya CCM Zanzibar, jitihada za maalim Seif hazina lengo la kutaka kurejewa uchaguzi wa Zanzibar ambao umefanywa kwa mujibu wa sheria za nchi, bali zinalenga kujitafutia umaarufu alioupoteza kutokana na ubinafsi wake wa kuwakataza wafuasi wake kushiriki uchaguzi wa marudio, jambo ambalo limewanyima fursa muhimu kisiasa ya kutoa hoja za sheria ndani ya- Baraza la Wawakishi.

CCM inawaomba wananchi kutobabaishwa na kauli za uchochezi na uasi zinazolewa na maalim Seif Sharif Hamad, ambaye kuna kila dalili za chama chake kupoteza mwelekeo wa kisiasa badala yake wanatafuta mwelekeo mwingine ambao kamwe nchini Tanzania haukubaliki, hakuna historia ya vita wala uasi.

Chama cha mapinduzi kinawasisitiza wananchi kwamba hakuna uchaguzi kabla ya mwaka 2020 na hakuna Serikali nyingine itakayowekwa madarakani kwa kile kinachodaiwa kumaliza migogoro wa kisiasa Zanzibar.

Chanzo:
Zanzibar yetu
 
Https://zanzibaryetu wordpress..!
No body should be a judge of his own course
 
"Madai ya Uongo",Dunia imeshuhudia wizi wa kura,wasimamizi wa wote wakiwa wa ndani na wa nje wameshuhudia vipi CCM walivyomnyima haki yake Maalim Seif na wazanzibari, sasa hapa nani muongo CCM au Dunia..
 
Acheni kujinyea nyea mnataka vyomvo vya dola eti viwasaidie? .mnatakiwa kukanusha aliyoyasema na sio kulia lia kuviomva vyomvo vya dola ."ukisikia paaaa juwa jiwe imepiga"
 
Chama cha mapinduzi (CCM) Zanzibar kinatoa indhari kwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusiana na propaganda chafu, za uongo na upotoshaji zinazoendelea kusambazwa na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad ndani na nje ya nchi, dhidi ya Serikali mbili zilizoko madarakani chini ya chama cha mapinduzi na viongozi wake.

Taarifa ya CCM Zanzibar kwa vyombo vya habari iliyotelewa ofisi kuu ya CCM Zanzibar, inasema tokea kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa marejeo imekuwa ikishuhudia matukio mbalimbali ya hujuma ambazo chanzo chake ni kauli za uchochezi, uongo na upotoshaji zilizotolewa hadharani na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad katika ziara zake kwenye maeneo tofauti unguja, pemba na nje ya Zanzibar.

Wana CCM na viongozi na wananchi wa Zanzibar wameshuhudia kuchomwa kwa mshamba ya karafuu, kuharibiwa mazao ya wakulima, na watu hasa wanachama na wafuasi wa ccm, kuchomewa nyumba zao, wananchi kushawishiwa kutoitambua Serikali,halali iliyoko madarakani pamoja na matukio kadhaa yenye kuashiria uvunjifu wa amani.

Jumatano ya tarehe 15 juni 2016 katibu mkuu huyo wa CUF kupitia Televisheni ya "Voice of America" (VOA) alishtumu Serikali za Tanzania na viongozi wake kwa madai tofauti ya uongo ikiwemo kile alichodai kukosa uwajibikaji na ukiukwaji wa makusudi wa misingi ya utawala wa sheria.

Chama cha mapinduzi Zanzibar kinatoa wito kwa serikali zote mbili na vyombo vya ulinzi na usalama kuacha kufumbia macho vitendo vinavyofanywa na kiongozi huyo wa upinzani kwani athari za badae zinaweza kuwa kubwa kiuchumi, kisiasa, kijamii kwa jumla.

Kwa maoni ya CCM Zanzibar, jitihada za maalim Seif hazina lengo la kutaka kurejewa uchaguzi wa Zanzibar ambao umefanywa kwa mujibu wa sheria za nchi, bali zinalenga kujitafutia umaarufu alioupoteza kutokana na ubinafsi wake wa kuwakataza wafuasi wake kushiriki uchaguzi wa marudio, jambo ambalo limewanyima fursa muhimu kisiasa ya kutoa hoja za sheria ndani ya- Baraza la Wawakishi.

CCM inawaomba wananchi kutobabaishwa na kauli za uchochezi na uasi zinazolewa na maalim Seif Sharif Hamad, ambaye kuna kila dalili za chama chake kupoteza mwelekeo wa kisiasa badala yake wanatafuta mwelekeo mwingine ambao kamwe nchini Tanzania haukubaliki, hakuna historia ya vita wala uasi.

Chama cha mapinduzi kinawasisitiza wananchi kwamba hakuna uchaguzi kabla ya mwaka 2020 na hakuna Serikali nyingine itakayowekwa madarakani kwa kile kinachodaiwa kumaliza migogoro wa kisiasa Zanzibar.

Https://zanzibaryetu wordpress..!
Nimeamini siasa ni game chafu, si mnajua aliambiwa aende kokote machotara hawapewi nchi, sasa walijiapiza nini?
 
Huko Zanzibar hakuna serikali hadi ccm iwe msemaji wa serikali?

Ninaweza kukumbushwa zanzibar kuna watu wangapi na kati ya hao wangapi ni wanachama wa ccm?
Hao wananchi wanoombwa kupuuza democrasia na ccm wako wangapi na ni wafuasi wa chama gani vile au wako upande upi wa mgogoro?

Naomba tujuvyane.
 
CCM inawaomba wananchi kutobabaishwa na kauli za uchochezi na uasi zinazolewa na maalim Seif Sharif Hamad, ambaye kuna kila dalili za chama chake kupoteza mwelekeo wa kisiasa badala yake wanatafuta mwelekeo mwingine ambao kamwe nchini Tanzania haukubaliki, hakuna historia ya vita wala uasi.[/QUOTE]
CCM ina akili gani jamani inawaambia wanachama wake wasibabaishwe lakini hapo hapo inababaika na kuiomba serekali imzibiti Maalim Seif.
 
Ila kwa zenji sijui huo mziki mwingine upo mstari hata watoto wanajua sasa suluhu ni maridhiano tu!
 
Ccm inatoa kauli kwa niaba ya serikali

Haya ni mahoka
 
CCM ZANZIBAR.
So whenever that house Negro identified himself, he always identified himself in the same sense that his master identified himself. When his master said, "We have good food," the house Negro would say, "Yes, we have plenty of good food."

"We" have plenty of good food. When the master said that "we have a fine home here," the house Negro said, "Yes, we have a fine home here."

When the master would be sick, the house Negro identified himself so much with his master he'd say, "What's the matter boss, we sick?" His master's pain was his pain. And it hurt him more for his master to be sick than for him to be sick himself.

When the house started burning down, that type of Negro would fight harder to put the master's house out than the master himself would.
 
Ngoja tujikumbushe Maalim alisema nini na kulinganisha na hii taarifa kwa umma toka CCM Zanzibar.

Zanzibar Civic United Party Hamad: '

Published on 17 Jun 2016

Zanzibar opposition leader Seif Sharif Hamad is in Washington, DC to meet with U.S. government officials about the political situation in Zanzibar. VOA’s Vincent Makori sat down with Hamad, who is the leader of the Civic United Party, to discuss why he insists he was legitimately elected president, but denied the victory, when the government-appointed electoral body decided to nullify the vote.
Originally published at - http://www.voanews.com/media/video/33...

Source: TV2 AFRICA
 
Seif Sharif Hamad Discusses His Charges Against CCM
Published on 16 Jun 2016
"To our surprise, the ruling party, CCM, instructed the chair of the Zanzibar election commission to nullify the elections, which is against the Zanzibar constitution and the election laws of Zanzibar," Seif Sharif Hamad told Shaka Ssali of VOA Straight Talk Africa in explaining his concerns about the election of 2015.

Source: TV2 AFRICA
 
Back
Top Bottom