CCM: Zamu kwa zamu

CCM: Zamu kwa zamu

Na ww umetajwa kwenye hyo email ndo maana haujakopi na kupesti? Hata haijanoga sana.
 
'Akitoka Mnyika,afuate Tundu Lissu, Mchungaji Peter Msigwa wa Iringa Mjini na baadaye Vicent Nyerere. Lema ameshashughulikiwa na anaendelea kushugulikiwa. Vijana wetu ndani ya CHADEMA wapo imara ingawa wana shaka kuu. Wawezeshwe. ' imeamuru email hiyo kutoka kwa Katibu Mkuu Taifa Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana.

' Mambo haya Mwenyekiti na Makamu wake hawayafahamu.Wao wanataka siasa safi. Wasiyajue mambo haya.' ilibainisha email hiyo toka juu.

Ni zamu kwa zamu.Wahusika na wafahamu.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam

Acha kuleta propaganda zako wewe. Yaelekea hujui hata unachokiandika. Hebu soma hapo kwenye red. Unatunga vitu visivyoenda shule. Acha hizo wewe...
 
Mchezo wa kujadili mtu badala ya hoja ulioasisiwa na Nape (au Nahum) Nnauye,umepongezwa na CCM.Mpango huo unawalenga viongozi wa CHADEMA katika kuwajadili maisha yao binafsi kama ndoa,elimu na hata amekula nini na wapi siku hiyo.

Katika email niliyopokea asubuhi hii kama Kada Maarufu hapa Lumumba,Nape anapongezwa kwa kumsakama Dr.Slaa na Mnyika. Email imewataja Mwigulu Nchemba,Wasira,Lukuvi Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kama wafanikishaji wa mpango huo.

'Nape amebuni jambo jema. Lazima apongezwe sana. Anawapoteza maboya sana CHADEMA.Hakuna haja ya kupambana na NCCR wala CUF kwakuwa hao hawainyimi usingizi CCM. Hao waachwe salama waendelee na siasa zao' ilisema email hiyo

'Akitoka Mnyika,afuate Tundu Lissu, Mchungaji Peter Msigwa wa Iringa Mjini na baadaye Vicent Nyerere. Lema ameshashughulikiwa na anaendelea kushugulikiwa. Vijana wetu ndani ya CHADEMA wapo imara ingawa wana shaka kuu. Wawezeshwe. ' imeamuru email hiyo kutoka kwa Katibu Mkuu Taifa Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana.

' Mambo haya Mwenyekiti na Makamu wake hawayafahamu.Wao wanataka siasa safi. Wasiyajue mambo haya.' ilibainisha email hiyo toka juu.

Ni zamu kwa zamu.Wahusika na wafahamu.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam

propaganda zingine mpaka zinapoteza ladha. sasa umepost nini mkuu hapa?
 
Ridiculus and very cheap, you cannot call this propaganda, but sheer lies, na uzushi. Hawa ndio wanao iangusha hii forum. Sijui kama mme notice the number of ppl not revisiting the forum nowadays, its due to these cheap politics na udini wa kimatusi na uzushi. Huwezi kuaminika hata kidogo.


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom