CCM yazidi kuumbuka

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
Chama cha Mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani Kilimanjaro. Jisomee mwenyewe

Attachments

  • moshi.jpg
    332 KB · Views: 4,781
Ukweli sijaielewa mkuu ccm wanapanga mgomo!?
Wanamgomea nani!?
 
Wanaigome Manispaa ya Moshi, labda kwasababu inaongozwa na CHADEMA!!!!
 
Ukweli sijaielewa mkuu ccm wanapanga mgomo!?
Wanamgomea nani!?
Unajua Moshi CCM ina madiwani wasio zidi wanne tu kwa hiyo wanaona ikigomewa manipaa ya Moshi maana yake ni kuuizoofisha chadema.
 
Kumbe kuna kukosi maalum cha kudhibiti CHADEMA
 
Hii ni zaidi ya kufulia, inaonyesha kwamba utawala wa sheria haupo kabisa. Yaani anawaamrisha watu wafanye fujo halafu anawaahidi kwamba hawatachukuliwa hatua hata kama maafa yatatokea!!!!!!!!!HUYO KATIBU ALIYEANDIKA BARUA HIYO APIMWE AKILI.
 
Unajua Moshi CCM ina madiwani wasio zidi wanne tu kwa hiyo wanaona ikigomewa manipaa ya Moshi maana yake ni kuuizoofisha chadema.

okey nimewaelewa na je CDM wakifanya hivyo nchi hii haitatawalika duu!
 
Hii ni zaidi ya kufulia, inaonyesha kwamba utawala wa sheria haupo kabisa. Yaani anawaamrisha watu wafanye fujo halafu anawaahidi kwamba hawatachukuliwa hatua hata kama maafa yatatokea!!!!!!!!!HUYO KATIBU ALIYEANDIKA BARUA HIYO APIMWE AKILI.
Hawa mabwepande wameishwa kabisa mbinu za kisiasa.
 
I'll be the last person to believe that:

  • The silly ccm works on Sunday ( refer to the letter written/sent on 8/07/2012)!
  • The letter reached all concerned the same day!
  • The time of 24hours sufficed preparations for the strike!
  • Money/allowance was to be distributed at a know place!

What I can believe immediately are:
  • ccm to use Green guards
  • ccm to destroy civilian properties
  • ccm to promise defense to all criminals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…