CCM yazidi kutumia mbinu chafu dhidi ya upinzani

Deka D

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
115
Reaction score
62
Hello wana jef.

Poleni na shughuli za kujenga taifa. Nawapongeza UKAWA kuwa na msimamo wa dhati zidi wachache wanao linda mamlaka yao.

Narudia tena katika historia ya dunia hii tunayoishi hakuna utawala au dola iliyoishi milele. Nazidi kuwatia moyo wazalendo wachache kuwa mabadiliko yanakuja na yatakuja wakati wowote.

Katika dunia ya leo Siasa ni kujenga hoja na sio kutengeneza kesi au mauaji ya kupoteza sifa za mpinzani.

Tunaona jinsi chama tawala (CCM) kinavyo zidi kutumia mbinu chafu dhidi ya upinzani hasa CHADEMA. Ata hiyo siri nyingi zimekuwa zikivuja... leo siri zimetoka kuwa antony dialo na deus malya wanapanga kuzusha mauaji ya chacha wangwe. Na waliopanga ni Mwigulu na Dialo

Lakin pia siri zilitoka kuhusu njama za mauajibya Dr.slaa. walio panga ni Mwigulu na team yake (mchange)

Lakini pia tumesikia pia tulisikia tuliona pia mkurugenzi wa ulinzi chadema akitengenezewa kesi ya ugaidi isiyokuwa na mashiko na walio panga ni Mwigulu na team yake.

Kesi za zitto kabwe na chama chake ni hao hao ccm chini ya fieldmasha Mwigulu na team yake.

Lakin pia tumeon jinsi ccm nchini ya Mwigulu na team anaogezeka hapo mh.masele nae wanawarubuni viongoz wa chama na madiwani.

Haya ni matukio machache sana kati ya mengi lakn ukweli ni kuwa mwisho wa mtawala unakaribia sana na utaondoka na kusaulika.

-Kumbuka adof hilter yuko wapi leo pamoja na kuwauwa watu wengi?

-Sadam hussein leo nae yuko wapi?

-Utawala wa Roma empire leo uko wapi?

-Yuko wapi leo mfalme Falao ?

-Yuko wapi leo Mabutu Sesseko mbanda?
-kiko wapi chama tawala cha india?
-kiko wapi chama tawala zambia leo?
-kiko wapi chama tawala cha KANU leo hii?
Sasa CCM ni nani? Watanzania maivunjike Moyo mm niko nje ya nchi lakn wengi walioko huku wanachukia sana mchezo huu wa chama tawala ccm.

NB. CCM nyumba yenu inavuja msikimbilie nyumba za wenzenu na kuzivunja.
 
Last edited by a moderator:
Wabunge waliongushwa wanaumia sana wanapanga mbinu chafu Bila msaada
 
Yuko wapi Sokoine, yuko wapi Kolimba, yuko wapi Dr Mvungi, yuko wapi waziri Mgimwa, yuko wapi Mwangosi

Hakika ccm italipia damu za marehem hawa bila kumsahau Imlani kombe, wahanga wa soweto-Arusha, Ally Zona nk
 
Hello wana jef.

Poleni na shughuli za kujenga taifa. Nawapongeza UKAWA kuwa na msimamo wa dhati zidi wachache wanao linda mamlaka yao.

Narudia tena katika historia ya dunia hii tunayoishi hakuna utawala au dola iliyoishi milele. Nazidi kuwatia moyo wazalendo wachache kuwa mabadiliko yanakuja na yatakuja wakati wowote.

Katika dunia ya leo Siasa ni kujenga hoja na sio kutengeneza kesi au mauaji ya kupoteza sifa za mpinzani.

Tunaona jinsi chama tawala (CCM) kinavyo zidi kutumia mbinu chafu dhidi ya upinzani hasa CHADEMA. Ata hiyo siri nyingi zimekuwa zikivuja... leo siri zimetoka kuwa antony dialo na deus malya wanapanga kuzusha mauaji ya chacha wangwe. Na waliopanga ni Mwigulu na Dialo

Lakin pia siri zilitoka kuhusu njama za mauajibya Dr.slaa. walio panga ni Mwigulu na team yake (mchange)

Lakini pia tumesikia pia tulisikia tuliona pia mkurugenzi wa ulinzi chadema akitengenezewa kesi ya ugaidi isiyokuwa na mashiko na walio panga ni Mwigulu na team yake.

Kesi za zitto kabwe na chama chake ni hao hao ccm chini ya fieldmasha Mwigulu na team yake.

Lakin pia tumeon jinsi ccm nchini ya Mwigulu na team anaogezeka hapo mh.masele nae wanawarubuni viongoz wa chama na madiwani.

Haya ni matukio machache sana kati ya mengi lakn ukweli ni kuwa mwisho wa mtawala unakaribia sana na utaondoka na kusaulika.

-Kumbuka adof hilter yuko wapi leo pamoja na kuwauwa watu wengi?

-Sadam hussein leo nae yuko wapi?

-Utawala wa Roma empire leo uko wapi?

-Yuko wapi leo mfalme Falao ?

-Yuko wapi leo Mabutu Sesseko mbanda?
-kiko wapi chama tawala cha india?
-kiko wapi chama tawala zambia leo?
-kiko wapi chama tawala cha KANU leo hii?
Sasa CCM ni nani? Watanzania maivunjike Moyo mm niko nje ya nchi lakn wengi walioko huku wanachukia sana mchezo huu wa chama tawala ccm.

NB. CCM nyumba yenu inavuja msikimbilie nyumba za wenzenu na kuzivunja.
Upuu
Upuumbafu wa chdem kuwaza siasa badala ya kaz
 
Last edited by a moderator:
Nitafurahi sana pindi ccm wakapata ajali na kufa, mfano kama jengo la bunge liungue wakati wao wako ndani bila UKAWA kwangu itakuwa sikukuu kubwa sana. Mungu tusaidie

Dua langu na liungane na hili. AMINA.
 
Ccm hawana siasa za kiistaarabu kamwe! Kwao kwa wapinzani wao ni kukabiliana nao kwa kutumia polis, usalama wa taifa, wakuu wa wilaya,mikoa na hata watumishi wasio waadilifu serikalini! Pia rushwa na ujinga wa watanzania walio wengi ndo mtaji wao.
 
Nitafurahi sana pindi ccm wakapata ajali na kufa, mfano kama jengo la bunge liungue wakati wao wako ndani bila UKAWA kwangu itakuwa sikukuu kubwa sana. Mungu tusaidie
Pole ndugu Yangu umeandika kw hisia Kali naumeonyesha ni jinsi gani uwapendi ccm ila naungana na wewe kuwachukia ccm na Mungu atafanya jambo.
 
Hello wana jef.

Poleni na shughuli za kujenga taifa. Nawapongeza UKAWA kuwa na msimamo wa dhati zidi wachache wanao linda mamlaka yao.

Narudia tena katika historia ya dunia hii tunayoishi hakuna utawala au dola iliyoishi milele. Nazidi kuwatia moyo wazalendo wachache kuwa mabadiliko yanakuja na yatakuja wakati wowote.

Katika dunia ya leo Siasa ni kujenga hoja na sio kutengeneza kesi au mauaji ya kupoteza sifa za mpinzani.

Tunaona jinsi chama tawala (CCM) kinavyo zidi kutumia mbinu chafu dhidi ya upinzani hasa CHADEMA. Ata hiyo siri nyingi zimekuwa zikivuja... leo siri zimetoka kuwa antony dialo na deus malya wanapanga kuzusha mauaji ya chacha wangwe. Na waliopanga ni Mwigulu na Dialo

Lakin pia siri zilitoka kuhusu njama za mauajibya Dr.slaa. walio panga ni Mwigulu na team yake (mchange)

Lakini pia tumesikia pia tulisikia tuliona pia mkurugenzi wa ulinzi chadema akitengenezewa kesi ya ugaidi isiyokuwa na mashiko na walio panga ni Mwigulu na team yake.

Kesi za zitto kabwe na chama chake ni hao hao ccm chini ya fieldmasha Mwigulu na team yake.

Lakin pia tumeon jinsi ccm nchini ya Mwigulu na team anaogezeka hapo mh.masele nae wanawarubuni viongoz wa chama na madiwani.

Haya ni matukio machache sana kati ya mengi lakn ukweli ni kuwa mwisho wa mtawala unakaribia sana na utaondoka na kusaulika.

-Kumbuka adof hilter yuko wapi leo pamoja na kuwauwa watu wengi?

-Sadam hussein leo nae yuko wapi?

-Utawala wa Roma empire leo uko wapi?

-Yuko wapi leo mfalme Falao ?

-Yuko wapi leo Mabutu Sesseko mbanda?
-kiko wapi chama tawala cha india?
-kiko wapi chama tawala zambia leo?
-kiko wapi chama tawala cha KANU leo hii?
Sasa CCM ni nani? Watanzania maivunjike Moyo mm niko nje ya nchi lakn wengi walioko huku wanachukia sana mchezo huu wa chama tawala ccm.

NB. CCM nyumba yenu inavuja msikimbilie nyumba za wenzenu na kuzivunja.

Ww poyoyo siku nyingine ukitaka kuandika kitu ujipange sio unaleta thread zenye makosa kibao ya kisarufi na kiandishi au umeandikia bar kichwani una safari 4?
 
Last edited by a moderator:
Ww poyoyo siku nyingine ukitaka kuandika kitu ujipange sio unaleta thread zenye makosa kibao ya kisarufi na kiandishi au umeandikia bar kichwani una safari 4?

kiswahili ni lugha duni sana , si kila mtu anaweza kukitumia .
 
Dua langu na liungane na hili. AMINA.

We mkuu usiombee hilo coz magaidi watakusikia then wakalipue ukumbi wa bunge na ndege si unajua rada ya chenge na membe iliisha kufa!!!!?
Mola epushia mbali.
 
Huu uzi ni mwiba mchungu sana na mkali mno kwa magamba na policcm.
 
Back
Top Bottom