Baada ya miaka haamsini sasa ndiyo kinaanza kampeni y kukitangaza chama kwa vitendo?miaka yote 40+ walikuwa wanasafisha mapori yetu kwa kupunguza wanyama waharibifu kama Tembo na faru,pia wakiomba misaada ya kujitafunia bata na familia zao,kweli chama makini,namini wanakwendaa na muda barabara,sasa wameshashiba,ndiyo wanakumbuka maskini wenye njaa waliopigania ustawi wa nchi hii bila mfanikio,mmeona tonge linadondok sasa ndiyo munawahi kulidakia chini