CCM yazidi kuangukia pua Arusha

CCM yazidi kuangukia pua Arusha

Wao na vibaraka wao ACT wako busy kwa majungu na Chadema wako busy na kuhangaika na wananchi
 
Khaa!! Huko si ndiyo idadi kubwa ya vijana wameathirika na viroba?? Ngoja watibiwe wakipata nafuu ulevi ukiisha watajitambua tu
 
He hee, sasa hii nayo imekuwa 'breaking news'?
 
Khaa!! Huko si ndiyo idadi kubwa ya vijana wameathirika na viroba?? Ngoja watibiwe wakipata nafuu ulevi ukiisha watajitambua tu

endeleeni na siasa za kishoga sisi tutawashughulikia kwenye sanduku...
 
Khaa!! Huko si ndiyo idadi kubwa ya vijana wameathirika na viroba?? Ngoja watibiwe wakipata nafuu ulevi ukiisha watajitambua tu

Ni kweli kabisa ndio maana CCM katika uchaguzi mdogo walimpambanisha SHOGA mvaa heleni na kijana Nassary
 
He hee, sasa hii nayo imekuwa 'breaking news'?

ni breaking news kwasababu nijuzi tu wsmetoja kukwapua bil 200 kwaajili ya kamprni kama hizi hii inamaana ukikura kwa watu wanaojitambua pesa yao di chochote...
 
Uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kitongoji cha Nkoanasar kata ya songoro Arumeru Mashariki.
Chadema kura 64
CCM kura 07.

Jumla ya kura zote 71

ccm wataendelea kufa na kufa na kufa Arusha..... hakuna uchaguzi ambao ccm watashinda Arusha.

RIP ccm na vibaraka wake
 
Back
Top Bottom