Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,360
Mii naona hapa Chadema ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?
Mama ntilie atatoa wapi mil400?tusubiri muvi mpya,siri zote zitafichuliwa
Mii naona hapa Chadema ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?
Yess. Wakome kuchumia matumbo nyambafu
Chadema msiwasamehe Mpaka Musa Mkanga auze nyumba.
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.