Pole pole uonage aibu. Ujue yuko Mungu asiyetishwa na bunduki wala alama az jembe na nyundo. Hivi kweli mmeshinda ninyi? Mbona nakuwa kama mashetani?
Mnajua mmeshindwa, mlijuua hamshindi, na kilelelezo ni huo unyama wenu dhidi ya binadamu. Mauaji ya raia, kuwafungia nje mawakala wa chadema ili muibe, kukimbia na masanduku ya kura na matumizi ya polisi kwa kufanikisha ufirauni wenu dhidi ya haki za Wtanzania kujipatia vingozi wawatako. Halafu leo mnakuja hapa kusema eti mmeshinda kwa kishindi. Pumbvnau saaaaaaaaaana!.
- Hivi ni Lazima CCM ishinde hata kwa kumwaga damu ya wanafunzi asiye na hatia?
- Hivi Mkuu anataka ku-proove nini kwa kuhakikisha waliohamia CCM kwa kumuunga mkono wanashinga hata kwa kupitia damu za mtoto asiye na hatia?
- Hivi kweli kama anapendwa kiasi hicho kama tunavyoambia kila siku, kwanini asinge ruhusu uchanguzi wa huru. ili kiwe kipimo kwake kweli anapendwa?
- Je kwa utaratibu huu, kuna mbunge hata mmoja wa upinzani atarudi bungeni mwaka 2020?
- Naamini kwa uchanguzi huu wa kijambazi hakuna mbunge wa upinzani atakaye rudi bungeni mwaka wa 2020, Je kunahaja ya kupoteza mabilioni kufaya uchanguzi mkuu wa mwaka 2020?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.