security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ameuangamiza kabisa upinzani Tunduma katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mwaka.
Nape Jembe la Chama alibebwa juu juu kama shujaa na pia Mama Migiro alishangiliwa sana.
Katika hali isiyo ya kawaida CCM Imedhihirisha kukomaa kisiasa baada ya kuongea mambo ya msingi yenye kueleweka.

Yaani nakuambia watu wamesombwa na malori mpaka basi.
M4c means movement for cheating. Hawana lolotbe tunduma. Kwani baada ya kukosa wa kuwadanganya, wanadanganyana wenyewe ndani ya chamaBado majembe yanapumzika nafikiri mziki wa M4C mnaujua.