CCM yatumia bilioni 3 uchaguzi Igunga....!

CCM yatumia bilioni 3 uchaguzi Igunga....!

Nasikitika sana kuona unaongea maneno ya kijinga kama hayo,wana Igunga wamefaidika kwa lipi?fikiria mara 2 zaidi usikurupuke.
Ungekuwepo Ingua ungeona wamenufaika vp!
sasa hivi wamemchagua mtu makini...wamefanya investment ya maana. Payback period ya investment waliyofanya ya kuichagua CCM itakuwa fupi sana. Hongereni sana wana CCM

mmmh! tukiwa na watanzania 2 kama wewe kwenye serikali yetu, tumekwisha!.
pole...natamani ungenijua
 
Mana zote hizi ni fedha za walipa kodi maskini Tanzania,wanatumia kuhonga watu ili wapige kura,ila siku zao zinahesabika mana watu wataelimika na watakuwa wanachukua pesa na hawawapi kura,wanatumia gharama zote hizo pesa za walipa kodi wakati watu hawana ajira,shule mbovu,maisha magumu,serikali ya CCM kweli ni ya majambazi.
 
nina maashaka na uelewa wako kiakili, umeishia kidato gani mkuu? kama umepita chuo basi ulikuw amdesaji mkubwa na ukaambulia makarai
hatutakaa tuendelee hata mataifa ya nche wanashangaa sana, zingetumika milioni 200 zingetosha hizo nyingine zikakarabati barabara za igunga,kujenga hops,mshule, kuwapa wanafunzi vitabu na madawati. ushabiki wa kijinga huu.wamenufaikaje na hizo hela??? magamba hawana akili

Yaaani Rejao ni mweupe kabisa kichwani,mpaka anatia huruma.
 
Kama ni kweli kuwa CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...

CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....

Using the Mathematics concept, which most run away!

CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=


CDM-400,000,000/23,286=17177/=

CUF-150,000,000/2,104=71,292/=

In summary!! Hehehhehee

CCM imegharamikia kura moja kwa tsh 113,275/=

CDM imegharamikia kura moja kwa tsh 17,177/=

CUF imegharamikia kura moja kwa tsh 71,292/=


Kila mmoja anajionea, Mathematics never lie!!

thats mathematics bhana....hakuna ubishi thanks mkuu
 
Ungekuwepo Ingua ungeona wamenufaika vp!
sasa hivi wamemchagua mtu makini...wamefanya investment ya maana. Payback period ya investment waliyofanya ya kuichagua CCM itakuwa fupi sana. Hongereni sana wana CCM

Sikatai wamefanya investment kwa ajiri ya manufaa yao CCM,na si kwa wananchi nakuhakikishia watu wa IGUNGA wataikumbuka siku ya uchaguzi kwa majonzi makubwa,wengi watasema ninge,wakae mkao wa kusulubika tu tuombe uzima.
 
enyi wana jf mliojaliwa kusoma vizuri; tengenezeni hiyo hesabu tumpe okampo ahaingaike na haya magamba, tunakwisha tukiwa tunaona.

O'Campo hadeal na kila kesi, wanashughulikia uhalifu dhidi ya binadamu at large. ndio maana hata washukiwa wa Kenya ni sita tu.
 
O'Campo hadeal na kila kesi, wanashughulikia uhalifu dhidi ya binadamu at large. ndio maana hata washukiwa wa Kenya ni sita tu.

na ufisadi je? na mauwaji je? si haya yote yamefanywa na magamba?
 
Hizo pesa wangejenga nyumba za walimu,kuboresha madarasa ya shule na madawati, zahanati kila kata, maji safi kila kata nk...kifupi igunga ingekua neema tu tena na chenji ingebaki....maana millioni elfu tatu sio mchezo
...Ndio maana waliambiwa wanafikiri kwa kutumia masaburi haya ndio matokeo yake!!!
 
Ukiona hivyo ujue wananchi wa Igunga wamenufaika..
Kuingiza hizo bilioni tatu kwenye circulation ni neema kubwa sana kwa wana Igunga.

Pumba. Maneno yako yanajulisha kiwango cha akili ulizo nazo
 
Chama cha mapinduzi kilitumia shilingi bilioni 3 katika kampeni na mchakato mzima wa uchaguzi katika jimbo la Igunga. Pia helikopta ya chama hicho iliyotumika katika kampeni hizo ililipiwa na Rostam Aziz. Kwa upande mwingie CHADEMA wao walitumia shilingi milioni 400. Source: Gazeti la Mtanzani. My take: Ni hekima gani iliyotumika kwa hawa magamba kutumia 3 bilion kwa uchaguzi wa Igunga tu wakati kuna watanzania wanakosa chakula, akina hospitali hazina dawa, nchi iko gizani eti umeme hakuna?

Kasome vizuri hilo gazeti. Bilioni 3 zimetumika katika uchaguzi wenyewe tu kule igunga lakini hela iliyotumika kwa ujumla wake ni 6++++++
 
Ukiona hivyo ujue wananchi wa Igunga wamenufaika..
Kuingiza hizo bilioni tatu kwenye circulation ni neema kubwa sana kwa wana Igunga.

si rahisi wananchi kunufaika kwani hela hizo zilishia kwa mafisisadi kulipana posho za kwenda kufanya kampeni. aslimia ndogo tu ya hela ndo zilibaki kwa kulipia vyumba na chakula IGUNGA, ambapo mie nadhani ni chini ya asilimia 2 ya fedha hizo
 
Back
Top Bottom